Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Green city under the sun
Image
Watanzanyani watabaki kuona kwa picha 😂😂😂
 
Cost of living USA ilo low kuliko Tanzania mtu ananunua petrol lita 5 sh 10,000 wakati huku tunanunua sh 15,000 mpaka 16,000.
Hiyo ilikuwa zamani kaka, kipindi cha Clinton kurudi nyuma. Kwa sasa ni bidhaa chache sana ambazo ni bei nafuu kulinganisha na nchi zingine, moja wapo ni mafuta kama ulivyosema. Ila vyakula, makazi, na huduma muhimu kama afya na elimu vimepanda sana bei. Hii ndiyo sababu kubwa wamarekani wengi walikubali kudungwa chanjo ya corona, si kwa kupenda bali kuogopa kufukuzwa kazi zao. Kumbuka, 70% ya wamarekani hawana hata $1000 kwenye account zao.
 
Iyo ilikuwa zamani kaka, kipindi cha Clinton kurudi nyuma. Ni bidhaa chache sana ambazo ni bei nafuu kulinganisha na nchi zingine, moja wapo ni mafuta kama ulivyosema. Ila vyakula, makazi, na huduma muhimu kama afya na elimu vimepanda sana bei. Hii ndiyo sababu kubwa wamarekani wengi walikubali kudungwa chanjo ya corona, si kwa kupenda bali kuogopa kufukuzwa kazi zao. Kumbuka 70% ya wamarekani hawana hata $1000 kwenye account zao.
Umeamua unapea mwenzako heavy punches bila kujali?😂😂😂
 
Yaani katika vijana wapuuzi na washamba wewe ni mmoja wapo😁
I think kwa hao washamba wewe ndio kiongozi wao.

Yani hata hujui viatu vya skating vinafana aje? I'm sure singepost hizo picha hadi saa hii hungekuwa umeona viatu vya skating.
 
Back
Top Bottom