Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama watu tunaojadiliana nao ndio hawa; is the wastage of Time. Yaani tunajadiliana na takataka hii 😡 😡 😡 😡 👇👇👇

1708427346456.png
 
Cost of living in US ni kubwa kama utajipima na kamshahara kako unakolipwa ila kwa wao kule ni kawaida kwasababu mishahara yao sio kama yetu huku, kingine usijilinganishe na nchi zilizoendelea hautopata vipimo sahihi, wewe hapo kibera unalipwa ksh 50k na ni miongoni mwa walimu wanaolipwa pesa nzuri lkn kule US mtu wa kawaida mbeba mabox utakuta mshahara anaolipwa kwa mwezi ni zaidi ya mishahara yako kumi, uwiano uko wapi hapo.
Hawa hawana analytical thinking ni watu wa kuwa carried na moment tuu.
 
Sasa naelewa kwanini ilishindikana kuonesha bank statement.
Nini hiki 😂😂😂
Unaongea hapa na uko na less than 100,000 in your account. Why should I discuss money matters with a poor nigga like you?
 
Tunapoteza nguvu kubwa kumbe tunajadiliana na watoto. Nimeumia sana 😢😢😢😢😢
Huyo mtoto anakushinda kwa pesa. Huyo mtoto anaishi maisha mzuri kukuliko. Huyo mtoto amesoma kukuliko.

There's nothing unaezaambia huyo mtoto.
 
Back
Top Bottom