Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaalam wa analysis tuambie sasa. Kumbe unaongelea gari. Mimi nilikuwa nakuambie nikifika niweze kukushughulikia. Maana nilikuwa natuma nikifika kwenye queue.

Unataka tuongelee gari? au Nikushughulikie?
Lift Yako imeisha?🤣🤣😂🤣.

Next time ukipewa lift salimia pastor. Mwambie Teargas amemgotea.
 
Tanzania and good road ni kama maji na mafuta.
Tuanze kuongelea picha hii au tusubiri kwanza?

1708410213474.png
 
Ila huyo watchman ako desperate sana, yani anaongelea kukuoa? Interestingly ako humu kila siku akitusi mademu wakenya hawana sura kumbe ni sungura kashinda kufikia mizabibu kasema ni chungu. 🤣 🤣

Huyo Shebby01 naye ako huku Nairobi anashare picha za mazingira mabovu kumbe ni huko ndiko anakowezana maanake mademu wa Kilimani, Kileleshwa, Langata et al hawawezi? Hawa majamaa wako desperate sana. 🤣
Hata kama msichana wa wenyewe amekubali aolewe na huyo watchman. Atamlisha na nini?
 
Lift Yako imeisha?🤣🤣😂🤣.

Next time ukipewa lift salimia pastor. Mwambie Teargas amemgotea.
Wala sina haja ya kuongelea mambo madogo kama hayo. Baada ya kupitia na kuona picha ulizotuma nilicheka sana.
🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Hii picha ni ya mwaka gani?

1708410304070.png
 
Which means he is a bottom-of-the-barrel man. A well doing man has access to many womens he doesn't bother with any internet profile he comes across. 🤣 🤣
Ukiona mtu anabembelezana kwa inbox ya mwenye hajaiona just know that the guy aneshindwa na maisha.
 
Miaka 3 ya Samia Kiximkazi-466 New Heath Centers
VS
Miaka 5 ya Kiongozi wa Malaika-350 Heath Centers

Kazi inaendelea 👇👇

View: https://twitter.com/RahmaChuwa/status/1759816061342335245?t=VKu3heo2RA2MOe8wMbgAtw&s=19

Mwambie ashughulikie umeme na mfumuko wa bei wa baadhi ya vyakula hususan sukari.
70% ya raia wa chini hutegemea kuendesha kipato kwa umeme mathalan wauza juisi ya miwa n.k.
Mwambie ashughulikie umeme acheni kumsifia kwa janja janja zisizo na maanaa.
 
Ukiona mtu anabembelezana kwa inbox ya mwenye hajaiona just know that the guy aneshindwa na maisha.
Kawaida mademu huavoid wasee hawana kakitu. Ndio maana wanapenda projection humu - matusi yao yote ni 'wewe ni maskini in real life'. 🤣
 
Kawaida mademu huavoid wasee hawana kakitu. Ndio maana wanapenda projection humu - matusi yao yote ni 'wewe ni maskini in real life'. 🤣
Tangu nikatae kumjibu inbox siku hizi jamaa ako na mauchungu sana na Mimi😂😂
 
Back
Top Bottom