Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have a work. I feed myself and my family. Wewe unaliashwa na bibi😂😂
But this is you 👇🤣🤣🤣🤣
IMG_20180325_012750_253.JPG
 
Kabla nieleze purchasing power ni nini mlikuwa mnatupigia kelele humu eti purchasing power ni cost of living. After nimewaelezea Sasa umejifanya gwiji unifundishe? Nimekujibu post iliyozungumzia cost of living, Sio purchasing power. Usiingize purchasing power ndio uonekane unajua wakati hukujua kabla nieleze. Jibu langu ni kukutoa Huo ujinga wa kufikiria cost of living USA iko chini ya Kenya ama Tanzania na nimekueleza Huo mshahara wako wa mwaka mmoja hauwezi kulipa bills za mwezi mmoja USA ndio uelewe jinsi cost of living ya USA ilivyo juu.
Cost of living in US ni kubwa kama utajipima na kamshahara kako unakolipwa ila kwa wao kule ni kawaida kwasababu mishahara yao sio kama yetu huku, kingine usijilinganishe na nchi zilizoendelea hautopata vipimo sahihi, wewe hapo kibera unalipwa ksh 50k na ni miongoni mwa walimu wanaolipwa pesa nzuri lkn kule US mtu wa kawaida mbeba mabox utakuta mshahara anaolipwa kwa mwezi ni zaidi ya mishahara yako kumi, uwiano uko wapi hapo.
 
Nakuambia watu ni maskini hapa JF. Mimi nilijua tu huyu jamaa ni maskini hile time alikuwa anaturingia rice😂😂😂
so this is the same species who posted the cheap ugali rice from mbeya.So he got esteem issues...and is seeking some validation sort of thingy.
 
Very true I'm not your league coz mimi ni huyu 👇View attachment 2909867while wewe ni huyu 👇View attachment 2909868hiyo ni fair comparison kwasababu wote tulikua chuoni hiyo 🤣🤣🤣 sasa waache raia watoe comments zao ni nani kati yetu is of the low league. 🤣🤣🤣
Alooo umemchapa kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
so this is the same species who posted the cheap ugali rice from mbeya.So he got esteem issues...and is seeking some validation sort of thingy.
Mimi kuanzia leo huyo jamaa hataniambia kitu.

Sijaiona Mwanaume analishwa na bibi, kazi yake ni kuzunguka tu mtaani🤣🤣😂😂.
 
Wewe ni Giza IV Oxide 😂😂😂😂

View attachment 2909886
Can't you see hiyo ni color effects.? Na kwanini uhangaike na picha zangu za 5-6 years ago.? 🤣🤣🤣 The most recent picture of myself is this one 👇
IMG_20230613_102447_970.jpg

Mimi kuanzia leo huyo jamaa hataniambia kitu.

Sijaiona Mwanaume analishwa na bibi, kazi ya ni kuzunguka tu mtaani🤣🤣😂😂.
But this is you my dear brother 👇🤣🤣🤣🤣
IMG_20180325_012750_253.JPG
 
Can't you see hiyo ni color effects.? Na kwanini uhangaike na picha zangu za 5-6 years ago.? 🤣🤣🤣 The most recent picture of myself is this one 👇View attachment 2909891

But this is you my dear brother 👇🤣🤣🤣🤣View attachment 2909893
Sasa wewe mwenye unaliashwa na bibi unaniambia nini?😂😂🤣.
 
🤣🤣🤣🤣 Teargas View attachment 2909894wewe ni mndali mzee wangu.. angalia hizo nguo zako na wewe jinsi ulivyopauka 🤣🤣🤣🤣 mazingira uliyopo 🤣🤣🤣 wewe ni maskini mbwa
Dah ninyi jamaa aisee!
Hii battle ya Dar vs Nai imehama mpaka kuwa personal.
 
Sasa ukishaanza kulishwa na bibi nani atakuwa ndume wa nyumba? Wewe ama bibi?😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna unajua haya maisha yana mtizamo tofauti bro.
Mwanaume kulishwa na mwanamke hakuondoi uanaume wake ila inategemea unalishwa kwa aspects zipi na nyakati zipi.
 
Back
Top Bottom