Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunapoteza nguvu kubwa kumbe tunajadiliana na watoto. Nimeumia sana 😢😢😢😢😢
Screenshot_20240220-141949_Chrome.jpg

Zile argue zake tu nilijua hapa tunajitahidi kumuelewesha sio mtoto bali mshamba wa kisii huko ndani ndani kwenye funza
 
Inaonekana ulisoma kwa tabu kweli kiasi kwamba kuamini mtu anaweza akafika chuo kikuu unaona ni kitu ambacho hakiwezekani😄
Nimefika chuo kikuu na naelewa mtu aliyefika chuo kikuu anavyojadili. Kuna mtu humu akiniambia amefika chuo kikuu sitapinga lakini Kuna wengine nikiskiza hoja zao najua tu hapa hamna masomo ya maana. Mtu kama wewe ukiniambia umefika chuo kikuu siwezi Amini. Kwa hivo Sio kusoma na taabu bali ni kuelewa mambo yalivyo.
 
Umefika 🤣 🤣 🤣 Endelea kufika wenzako wanasoma

Kula chuma hiyo ya watanzania

View: https://youtu.be/eUsQNHBwC2E?si=zaw0x-2zdT_iTPKv
 
Back
Top Bottom