Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna unajua haya maisha yana mtizamo tofauti bro.
Mwanaume kulishwa na mwanamke hakuondoi uanaume wake ila inategemea unalishwa kwa aspects zipi na nyakati zipi.
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
 
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
Kaka mie ngoja niwaache mmalizane maana daaah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Huu ugomvi wa ngumi.
 
Kaka mie ngoja niwaache mmalizane maana daaah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Huu ugomvi wa ngumi.
Mimi sina ugomvi na mtu. I'm only dancing to his songs😊😊
 
Mbona unahangaika na picha zangu za utotoni.? 🤣🤣🤣🤣🤣 This is you
IMG_20180325_012750_253.JPG
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo Sama boy 255 anapewa kila kitu na bibi. Siku watakosana atafukuzwa bila kupewa hata kijiko sababu bibi amenunua everything kwa nyumba.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ikiwa ni kweli kwamba nalelewa mbona unyama tu, heb cheki nnavyopondwa huku 👇
Screenshot_20240120-021253_1.jpg
mimi nikijua nakuweza nakua na karaha sana. 🤣🤣🤣 Endelea kuumia, hiyo ilikua last year before Ramadan
 
Do you know how pangla punglu looks like?

Anafanana hivi😂😂👇👇
View attachment 2909963
Lest do comparison between these two pictures 👇
Screenshot_20240220-111514_1.jpg
vs your best picture enye umechagua kupost ukitamba tutambia kuwa wewe ni mjanja 👇
IMG_20180325_012750_253.JPG
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Ikiwa ni kweli kwamba nalelewa mbona unyama tu, heb cheki nnavyopondwa huku 👇View attachment 2909964mimi nikijua nakuweza nakua na karaha sana. 🤣🤣🤣 Endelea kuumia, hiyo ilikua last year before Ramadan
There's a big difference between kupendwa and simping, wewe unasimp.

Unajua tu vizuri usiposimp utakosa Pesa za bundles 😂😂😂.
 
Lest do comparison between these two pictures 👇View attachment 2909970vs your best picture enye umechagua kupost ukitamba tutambia kuwa wewe ni mjanja 👇View attachment 2909971🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baadala ya kulishwa na bibi tunaezakukusanyia pesa hapa JF ukuje Kenya ufanye kazi ya omba omba barabarani 😂😂🤣.
 
There's a big difference between kupendwa and simping, wewe unasimp.

Unajua tu vizuri usiposimp utakosa Pesa za bundles 😂😂😂.
🤣🤣🤣 Mimi napendwa na watu, hadi rafiki zangu wa kike wananitamani 👇
Screenshot_20240220-123000_1.jpg
🤣🤣🤣🤣 yaani mimi ni sukari yao
 
🤣🤣🤣 Mimi napendwa na watu, hadi rafiki zangu wa kike wananitamani 👇View attachment 2909982🤣🤣🤣🤣 yaani mimi ni sukari yao
Chattings za umaskini hizi.

Ebu niwaulize watanzania, nyinyi wote simps like this guy ama hii yake imepanda ndege?😂😂😂

There's nothing bad like simping 😂😂
 
Back
Top Bottom