Jibu swali umeme ulikuwa unakatika au haukatiki?
Jibu ni jepesi sana ,economic activities by then zilikuwa very low ,ndio kile kipindi Jiwe alikuwa anasingizia anajenga Sgr,sijui bwawa nk hivyo hata mahitaji yalikuwa chini.
Kwa Sasa Ukuaji wa sekta ya umeme ni wastani wa 8% so imeweka pressure kwenye mahitaji na pia Serikali inasema miundombinu ni chakavu sana.
Mwisho Changamoto za kimazingira zimetokea awamu hii ya Mama kuliko kipindi hicho so lazima umeme ukatike.
Hata hivyo za Kuimarisha miundombinu inaendelea 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C3D0mNRLkZ0/?igsh=NnJnZml2N2F2aDAx