ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,250
Ukikua utaacha...thread imeanzishwa nipo shule bado, mpak leo mnabishania hewa, wakati jibu linajulikana
ok, but i think mm nimkubwa sas, lakini wacha nikubaliane naweweUkikua utaacha
Lying myself about what?Even after a humiliation with facts over hogwash, you still are flagrant enough to make twists just to win an argument rather than simply taking your L and accepting you were wrong? Nice try. We are used to you changing goal posts. I could put up an argument to disapprove you but what's the point. You can keep lying to yourself if that makes you sleep better at night.
Watakuambia ni ya kitambo, sasa hivi wamevunja zote wamejenga "Affordable houses".Na huko ni naipori kilomita chache kutoka cbd, ha ha ha.
...thread imeanzishwa nipo shule bado, mpak leo mnabishania hewa, wakati jibu linajulikana
Mmepata first KFC mmefurahi kweli kweli. Ama Leo tena KFC haiuzi junk food?😂😂😂
Na mm nimekujibu kua ni msafara wa kiongozi wa chama sio mtumishi wa serekali na hata kama angekua ni waziri au mkuu wa mkoa pia bado haendeshwi na polisi 🤣🤣🤣Si ukuwe mpole my friend, nimeuliza swali. Nchi nyingi dereva wa cabinet secretaries, ministers ama civil servants huwa ni trained cops so wacha kujifanya uko surprised sana
Same 15.7 au iko tofaut ??😅😅😅😅😅Your weak currency continues to devalue against Kenyan Shillings.
15.704 and 15.756 ni same kwako?Same 15.7 au iko tofaut ??😅😅😅😅😅