toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Mimi nataka nione email subject tucompee na titles za statement yenyewe. Ukiwa mkweli naleta posaSi ulitaka mail ya statements? Mbona tena unalia?😂😂
Mimi nataka nione email subject tucompee na titles za statement yenyewe. Ukiwa mkweli naleta posaSi ulitaka mail ya statements? Mbona tena unalia?😂😂
Kama hile mail ndio unakana what will make you believe whatever I'll be posting going forward.Mimi nataka nione email subject tucompee na titles za statement yenyewe. Ukiwa mkweli naleta posa
😎😎😎😎😎langu jicho tu kakangu mkunya utamweza kaka? wewe kubali atajiskia poa zaidi ya fiti 😎😎😎Kwanini unadanganya watu maisha.? .? Young boi.? 😂😂😂
Weka Slip yako hapa mzee tucheke
Huuu ni msiba kakangu😢😢😢😢😢Daahh kazi tunayo kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa kuna ukakasi, Teargas ni young boy ama young girl. Maana kama nakumbuka vizuri kuna kipindi alitumia profile pic pisi fulani matiti na madako ya kutoshaKwanini unadanganya watu maisha.? .? Young boi.? 😂😂😂
Umeanza vituko sasa
Wenye akili tumeshaelewa mkuu dont stress utaumiza kichwa buree yeye kasema wabongo sisi fukara 😁😁😁😁Hivi amepost statement au bado anaziba ziba na emojis kibao! 😂😂😂
Kuna ugumu gani yeye kupost statement kwa mfumo kama ule nilio post mimi!
Aliona credit and debit kwenye account yangu akasema niko na loan.
Hajui maana ya credited and debited kwenye bank account halafu anajisifia anajua kingereza.
Ndioo asili ya mkunya tuulize sisi tunaowajua 😎😎😎😎Huyu ndugu yetu kwanini mnamuita mkimbizi??
Kakimbia toka wapi aisee!?🤔🤔🤔🤔
Kamebanwa kana change gear angani kanafikiri watz ni ma fool kama wakenya 🤣🤣🤣🤣🤣Built in Kenya by Kenyans for Kenyans.
View attachment 2900614
Kamepanic 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I stopped working in Sai next month😂😂😂
Kamepanic 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I stopped working in Sai next month😂😂😂
Fresh from school japo ni mtu mzima, mtumbua mishipa unataka ulipwe sh ngp 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣And you believed that I was being paid 39,000?🤣🤣😂😂
Kameshikwa kwenye salary now kana change mada 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣