Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeandika ujinga 🚮

Hakuna single factor ambayo unaweza sema imeleta Utalii zaidi badala yake ni mkusanyiko wa sababu kadhaa na mojawapo ni reputation ya Nchi Kwa Sasa kwamba sio ya kidikteta na matokeo yake ni Kuongezeka Kwa Utalii wa mikutano.

Credits ni Kwa Samia 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1681682126679285761?t=E5s601PaFEUe6cZr07FKrA&s=19

We jamaa huyu mama sijui anakupa nini aisee!!
Doh!
Tuna safari ndefu sana hii nchi.
 
Umeandika ujinga 🚮

Hakuna single factor ambayo unaweza sema imeleta Utalii zaidi badala yake ni mkusanyiko wa sababu kadhaa na mojawapo ni reputation ya Nchi Kwa Sasa kwamba sio ya kidikteta na matokeo yake ni Kuongezeka Kwa Utalii wa mikutano.

Credits ni Kwa Samia 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1681682126679285761?t=E5s601PaFEUe6cZr07FKrA&s=19

Unless uwe hujui maana ya udikteta 😅😅😅

Narudia kukwambia misingi imara iliojengwa ndio hiii leo unaona gorofa limesimama

Kunzia sector ya madini leo hii inafanya vzr na utalii kwa ujumla bila kusahau bandari zote pia au nasema urongooo???🤣🤣🤣🤣

Najua unaumia kukubali lakini ndio ukweli sasa
 
Mtoto wake aanafanya happy birthday kwenye private jet angani alaf umesema anahitaji bei gani?? Na anahitaj yeye kama nani fundi au??😁😁😁😁😁 musifanye watanzania wajinga sana

Suali ni simple kwann umeme kipindi cha chuma kulikua hakukatiki ovyo shida iko wapi ???😁😁😁😁 ongea tu bila uoga
KAKA AKIKUPA JIBU LENYE MANTIKI KUHUSU UMEME HUYU JAMAA MIE NAFUNGA ACC JF.
AKIKUPA JIBU LENYE MANTIKI SIO JIBU LA HOVYO LISILO NA MASHIKO BALI JIBU LENYE MANTIKI NI TAG KAKA.
 
Kipindi cha Magufuli ilikua nadra sana kusikia umeme unakatika.
Na ukikatika haukatiki masaa 12.
Ila sasa hivi umeme unaweza ukakatika masaa 24+.
Unaweza ukanambia kipingi cha Jiwe walidhibiti vipi ukatikaji hovyo wa umeme??
Sababu zimekua haziishi mara nguzo kuibiwa,mara bwawa kukauka,si hawa hawa serikali walisema bwawa la JNHPP litakua tayari kuzalisha umeme january??
Serikali hii ya hovyo kabbissa
Jibu swali umeme ulikuwa unakatika au haukatiki?

Jibu ni jepesi sana ,economic activities by then zilikuwa very low ,ndio kile kipindi Jiwe alikuwa anasingizia anajenga Sgr,sijui bwawa nk hivyo hata mahitaji yalikuwa chini.

Kwa Sasa Ukuaji wa sekta ya umeme ni wastani wa 8% so imeweka pressure kwenye mahitaji na pia Serikali inasema miundombinu ni chakavu sana.

Mwisho Changamoto za kimazingira zimetokea awamu hii ya Mama kuliko kipindi hicho so lazima umeme ukatike.

Hata hivyo za Kuimarisha miundombinu inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3D0mNRLkZ0/?igsh=NnJnZml2N2F2aDAx
 
Unless uwe hujui maana ya udikteta 😅😅😅

Narudia kukwambia misingi imara iliojengwa ndio hiii leo unaona gorofa limesimama

Kunzia sector ya madini leo hii inafanya vzr na utalii kwa ujumla bila kusahau bandari zote pia au nasema urongooo???🤣🤣🤣🤣

Najua unaumia kukubali lakini ndio ukweli sasa
HAKUSIKILIZA HOTUBA ZA MWANZO ZA KIZIMKAZI.
Alisema "watumishi wa umma mlikua mnafanya kazi kwa nidhamu na ufanisi kwasababu mlikua mnamuogopa simba wa yuda(Hayati Magufuli),ila sasa hivi mnatakiwa muweke nidhamu ya kweli sio nidhamu ya uoga".
Hiyo kauli inamaana gani kama sio unachokimaanisha wewe kaka?
 
Unless uwe hujui maana ya udikteta 😅😅😅

Narudia kukwambia misingi imara iliojengwa ndio hiii leo unaona gorofa limesimama

Kunzia sector ya madini leo hii inafanya vzr na utalii kwa ujumla bila kusahau bandari zote pia au nasema urongooo???🤣🤣🤣🤣

Najua unaumia kukubali lakini ndio ukweli sasa
Huyo lofa hawezi elewa
 
Awamu ya 5 kuliwahi kuwa na mikutano Mingi ya Kimataifa kama Sasa hivi? Ni awamu ipi Uchumi wa Arusha ulikufa?

Reputation ya Nchi ilikufa sana,Sasa hivi wawekezaji wanamiminika Kila sehemu unadhani mahitaji ni kidogo?

Mfano Mimi Mkoa niliko kina viwanda 3 vipya vimefunguliwa na picha ukitaka naweza kukuletea unadhani pressure ya mahitaji ni Ile Ile?

Ruvuma tuu hapo Kuna bil.500 zimemwagwa kwenye ujenzi wa kiwanda Kipya na mashamba ya miwa.

Kingine hiki hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C3C4cjYtQTT/?igsh=MTEzeGo0bGFhMHF0MA==
 
Jibu swali umeme ulikuwa unakatika au haukatiki?

Jibu ni jepesi sana ,economic activities by then zilikuwa very low ,ndio kile kipindi Jiwe alikuwa anasingizia anajenga Sgr,sijui bwawa nk hivyo hata mahitaji yalikuwa chini.

Kwa Sasa Ukuaji wa sekta ya umeme ni wastani wa 8% so imeweka pressure kwenye mahitaji na pia Serikali inasema miundombinu ni chakavu sana.

Mwisho Changamoto za kimazingira zimetokea awamu hii ya Mama kuliko kipindi hicho so lazima umeme ukatike.

Hata hivyo za Kuimarisha miundombinu inaendelea 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3D0mNRLkZ0/?igsh=NnJnZml2N2F2aDAx

Jibu lako halina mantiki.
BRO UNAROPOKA NARUDIA UNAROPOKA.
UNATAKA KUNAMBIA VIWANDA VILIKUA HAVIFANYI KAZI HAPA TZ?
KUNA VIWANDA VINGAPI VIPYA VILIANZISHWA NA VIKAWA NA DEMAND YA UMEME??
USITUDANGANYE KUWA KULIKUA NA LOW DEMAND WE JAMAA.
UNAROPOKA HUONGEI.
Kwahiyo unataka kusema miundombinu haikuonekana imechakaa kipindi cha Magufuli ila ionekane kuchakaa kipindi cha Samia??
Kwani ukame haukuwahi kutokea kipindi cha Magufuli??
2017 na 2018 si mpaka mazao yalikua yanakaukia kwa ukosefu wa Mvua mashambani??
JE KUNA SIKU UMEME ULIKATIKA MASAA 24 KAMA UNAVYOKATIKA SASA??
Usitufanye sisi watoto we jamaa.
Leo niko na wewe maana nimekuvumilia kumtetea huyu mama kwa incompetence yake
 
Awamu ya 5 kuliwahi kuwa na mikutano Mingi ya Kimataifa kama Sasa hivi? Ni awamu ipi Uchumi wa Arusha ulikufa?

Reputation ya Nchi ilikufa sana,Sasa hivi wawekezaji wanamiminika Kila sehemu unadhani mahitaji ni kidogo?

Mfano Mimi Mkoa niliko kina viwanda 3 vipya vimefunguliwa na picha ukitaka naweza kukuletea unadhani pressure ya mahitaji ni Ile Ile?

Ruvuma tuu hapo Kuna bil.500 zimemwagwa kwenye ujenzi wa kiwanda Kipya na mashamba ya miwa.

Kingine hiki hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C3C4cjYtQTT/?igsh=MTEzeGo0bGFhMHF0MA==

UNATAKA TUKULETEE LIST YA VIWANDA VILIVYOANZISHWA AWAMU YA 5??
NGOJA NIKULETEE
 
Takwimu hiyo pekee haikutosha demand ya umeme kuwa juu kipindi cha awamu ya 5??
Hapo unataka kutudanganya kuwa bado demand ilikua low licha ya viwanda vya kati na juu vilivyokua vinajengwa??
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-08-14-16-52-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-08-14-16-52-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    146.3 KB · Views: 12
UNATAKA TUKULETEE LIST YA VIWANDA VILIVYOANZISHWA AWAMU YA 5??
NGOJA NIKULETEE
Ni vichache sana na ndio maana Ile porojo ya viwanda haikusikika mdomoni mwa Jiwe kwenye uchaguzi Mkuu 2020.

Vyerehani sio viwanda Mzee.Expansion ya baishara Kwa Sasa ni kubwa kuliko kawaida na ni sekta zote sio kama Jiwe alikuwa analeta visingizio vya kujenga Sgr na sekta zingine zikawa dormant.
Commitment ya investors kama hii ya awamu ya 6 haijawahi tokea popote hapa Tanzania,👇👇

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1753704190247944668?t=Zn5K7QN0jjpitvXbSlDf0g&s=19
 
Back
Top Bottom