Bongolalas kwani zile missile mulikua munarusha zililand wapi?
View: https://x.com/Africa_Archives/status/1756713767260356934?s=20
Embu fuatilia mapigano yameanza wapi na yanaelekea wapi.
Sio unaleta vipost tu hapa visivyo na msingi.
Kafuatilie Sake kimewakuta nini m23 walipojaribu kupateka.