Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa taarifa Yako tuu nilikuwa tayari kuumia since Mwendazake ni Rais ,haya unayoongea wewe ni marudio.

Nasema hivi wewe tukana saizi Samia harafu leta huyo unaeona nimalaika uone kama nitakaa kimya.

Unadhani wewe ni Chuma huwezi kuumia?
Kama upo tayari kuumia mbona unajificha ficha kwa jina bandia? 🤣 🤣 🤣 🤣 Kama upo open; verify account yako watu wakujue kama kweli wewe upo tayari kuumia.

Zaidi sana wewe ni Stupid fulani mwenye lengo la kuchonganisha watanzania.
 
Mzee unadhani Ku Comment kwenye Jukwaa la Kenya ni Kumtetea Rais Samia?
Kwanza pitia hii account.

Vilevile Jina la Account yangu hujui kuwa ndilo jina alilopewa Rais apoenda Kanda ya Ziwa?

Acha kutumia mihemko kijana. Huo unaoufanya siyo uzalendo bali ni hisia kali.

SASA TUAMBIE UMEMTETEA RAIS SAMIA KWA KUFANYA JAMBO GANI?
Kwa hiyo wewe unajua Mimi nachati na mtu ambae sikujui status Yako Hadi unipe utambulisho au?

Ni hivi unalindaje Rais yupi ikiwa anatukanwa na unaona ila umejikausha? Akiguswa Kiongozi wa malaika unastuka kulinda sio? Kumbe ngoja.
 
Nime kuuliza swali? Jibu swali

SASA TUAMBIE UMEMTETEA RAIS SAMIA KWA KUFANYA JAMBO GANI?
 
Kama upo tayari kuumia mbona unajificha ficha kwa jina bandia? 🤣 🤣 🤣 🤣 Kama upo open; verify account yako watu wakujue kama kweli wewe upo tayari kuumia.

Zaidi sana wewe ni Stupid fulani mwenye lengo la kuchonganisha watanzania.
99% ya ID humu jf zinatumia jina bandia,Mimi sio public figure kamba nitumie account ya wazi.

Wote wanaofanya kazi za Ulinzi wewe unaona wako public? Ndio maadili ya kazi?
 
Umeweka sawa rekodi wapi? Hapa kwenye Jukwaa la Battle btn Dar es salaam and Nairobi?

Je Taarifa zako hizo zimewafikia watu wangapi?
Unadhani kumtukana Rais aliyepita, Magufuli ndio kumsaidia Rais Samia?
Hapa hapa,tena sio hapa tuu Hadi kwenye majukwaa mbalimbali eg jf , Twitter,insta ,etc kote nipo.

Swali la nyongeza Tafadhali
 
Ethiopia to begin use of Kenya’s Lamu port​

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

1707477502230.png
 
View: https://twitter.com/mbalamukadi01/status/1755707970879410456

Hata ingekuwa wewe ni M23/RDF kwa nini usitoe mlio, sasa imagine vyuma kama hivi vililipuka masaa 6 gongo la mboto, imagine yale mabomu yote yaelekezwe Kikali,

FYI Rwanga yote ni ndogo kuliko Wilaya Nyingi za Tanzania.

NOTE: Siwezi kuthibitisha kama video ni Congo, lakiini kwa Lugha na Uniform kwa asilimia 101% hawa ni JWTZ

Kenya be warned, Nairobi ni ndogo kama Ilala

huyo jamaa anageuka hapo ni jwtz sare ni ya tz hio huree jw
 
Back
Top Bottom