Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Awamu ya 5 kuliwahi kuwa na mikutano Mingi ya Kimataifa kama Sasa hivi? Ni awamu ipi Uchumi wa Arusha ulikufa?

Reputation ya Nchi ilikufa sana,Sasa hivi wawekezaji wanamiminika Kila sehemu unadhani mahitaji ni kidogo?

Mfano Mimi Mkoa niliko kina viwanda 3 vipya vimefunguliwa na picha ukitaka naweza kukuletea unadhani pressure ya mahitaji ni Ile Ile?

Ruvuma tuu hapo Kuna bil.500 zimemwagwa kwenye ujenzi wa kiwanda Kipya na mashamba ya miwa.

Kingine hiki hapa 👇

View: https://www.instagram.com/p/C3C4cjYtQTT/?igsh=MTEzeGo0bGFhMHF0MA==

We bwege mikutano ya kimataifa inamsaidia nini mwananchi aliyeko kwenye joto na kushindwa kulala usiku sababu ya kukatika kwa umeme shwain
 
Ona ilivyokuwa kiazi.Mikutano inaleta pesa (Dola),inakuza Utalii na iwapa Wananchi wateja kwenye mahoteli na misosi.

Ndio maana nakwambia Uchumi wa Arusha ulikufa ,nenda saizi uone.
 
View: https://twitter.com/mulumba_jules/status/1755571368215609535/video/2

Kagame ni mjinga sana kuamini anaweza kuenedelea kuisumbua Kongo.

Tanzania na SADC hatutakubali.

Kenya... be warned.

Tanzania ni moja ya nchi chache kama si moja Africa kuziteka nchi zaidi ya moja na kuzitawala na kisha kuzirudisha kwa wananchi (Uganda, Shelisheli na Commoro), Rwanda wakitaka watakuwa next
 
View: https://twitter.com/mbalamukadi01/status/1755707970879410456

Hata ingekuwa wewe ni M23/RDF kwa nini usitoe mlio, sasa imagine vyuma kama hivi vililipuka masaa 6 gongo la mboto, imagine yale mabomu yote yaelekezwe Kikali,

FYI Rwanga yote ni ndogo kuliko Wilaya Nyingi za Tanzania.

NOTE: Siwezi kuthibitisha kama video ni Congo, lakiini kwa Lugha na Uniform kwa asilimia 101% hawa ni JWTZ

Kenya be warned, Nairobi ni ndogo kama Ilala
 
HAO NI JWTZ SARE ZAO NIMEZIHAKIKISHA.
LA mamayeee wanakwambia"wape rahaaaaa".
Lazima M23 watoe milio.
 
View: https://twitter.com/mbalamukadi01/status/1755707970879410456

Hata ingekuwa wewe ni M23/RDF kwa nini usitoe mlio, sasa imagine vyuma kama hivi vililipuka masaa 6 gongo la mboto, imagine yale mabomu yote yaelekezwe Kikali,

FYI Rwanga yote ni ndogo kuliko Wilaya Nyingi za Tanzania.

NOTE: Siwezi kuthibitisha kama video ni Congo, lakiini kwa Lugha na Uniform kwa asilimia 101% hawa ni JWTZ

Kenya be warned, Nairobi ni ndogo kama Ilala

Hao ni9 JWTZ wakitumia BM-21 silaha ndogo. Angalia jezi za wanajeshi.
 
Ona ilivyokuwa kiazi.Mikutano inaleta pesa (Dola),inakuza Utalii na iwapa Wananchi wateja kwenye mahoteli na misosi.

Ndio maana nakwambia Uchumi wa Arusha ulikufa ,nenda saizi uone.
Halafu hizo dola zinasaidia nini ikiwa karne hii ya 21 nchi haina umeme wa uhakika chini ya utawala wa chama unachokisifia ww kiazi,halafu habari zako za kisiasa peleka jukwaa la siasa zwazwa ww
 
Zinasaidia kupata pesa za kunulia mitambo ya kufua umeme.

Actually huna akili 😁😁
 
Back
Top Bottom