Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe umelianzisha kama vita unaijua. Tutaona
605aacb4db05a952cbd6bd1b3cf918dc.jpg
 
Jaribu tena kutukana viongozi wa nchi uone sasa. Unadhani tupohapa kuleta upumbavu.
Mbona wanatukanwa hapa Jukwaani na huna Cha kuwafanya ?

Rudi jukwaa la siasa kaanzishe mada ya Rais uone kama hujaja kujificha huku kukwaa la Wakenya.
 
Fanya Yako wewe punguani,Niko humu Toka 2017 na sijaanza kumnanga Mwendazake Leo au Jana ni since hajawa Rais,akiwa Rais na hata baada ya Kufa.

So long as Washabiki wake wapo na hawaungi mkono aliyepo na Mimi naunga mkono battle itaendelea.Waambie wakusimjlie vizuri wananielewa vyema sana.

Sio kama mnafiki uliyebdbwa huko uliko.

Mbona wanatukanwa hapa Jukwaani na huna Cha kuwafanya ?

Rudi jukwaa la siasa kaanzishe mada ya Rais uone kama hujaja kujificha huku kukwaa la Wakenya.
Wewe jamaa ni maku
 
Watu wanaapa kulinda Katiba na Rais tu. Sasa kama unadhani uhuru wa kujieleza umekuzidi uwezo endelea kutukana tukuone.
Kipi unacholinda wewe ikiwa Rais anayukanwa na unakenua tuu humu Jukwaani.

Wale naokwaruzana nao ni wale wanaotukana Rais unaedai unamlinda,wewe unalinda Rais yupi Sasa.
 
Kipi unacholinda wewe ikiwa Rais anagukanwa na inakenua tuu humu Jukwaani.

Wale naokwatuzana nao ni wale wanaotukana Rais unaedai unamlinda,wewe unalinda Rais yupo Sasa.
I told you kama umeamua kuongelea Maendeleo ya Rais Samia ongelea maendeleo ya Rais. Achana na kutukana Marais wengine, hiyo siyo kazi yako. Kama unataka kujipatia kazi hiyo ya kutukana Viongozi wakuu wa nchi kuna ghalama zake.
 
Iam telling you too,unalinda Rais yupo ikiwa humu Jukwaani Rais Samia anatukanwa na uko kimya? Sio tuu anatukanwa Bali wanamlinganisha na huyo ambae wewe unataka asitukanwe.

Ni hivi popote ambapo nitaweka mada au nitaona Rais Samia anatukanwa na wanaofanya hivyo ni Suku Gang kama kawaida yangu nitatimiza wajibu wangu.

Wewe endelea kulinda tumbo ,kazi ya kulinda Rais imekushinda.
 
Unadhani kutukana Viongozi wa nchi waliopita inakupa uhalali wa kumtetea Rais Samia? Tumia akili kijana achana na kutumia hisia. Utakuja kuumia bure.
Kwa taarifa Yako tuu nilikuwa tayari kuumia since Mwendazake ni Rais ,haya unayoongea wewe ni marudio.

Nasema hivi wewe tukana saizi Samia harafu leta huyo unaeona nimalaika uone kama nitakaa kimya.

Unadhani wewe ni Chuma huwezi kuumia?
 
Iam telling you too,unalinda Rais yupo ikiwa humu Jukwaani Rais Samia anatukanwa na uko kimya? Sio tuu anatukanwa Bali wanamlinganisha na huyo ambae wewe unataka asitukanwe.

Ni hivi popote ambapo nitaweka mada au nitaona Rais Samia anatukanwa na wanaofanya hivyo ni Suku Gang kama kawaida yangu nitatimiza wajibu wangu.

Wewe endelea kulinda tumbo ,kazi ya kulinda Rais imekushinda.
Mzee unadhani Ku Comment kwenye Jukwaa la Kenya ni Kumtetea Rais Samia?
Kwanza pitia hii account.

Vilevile Jina la Account yangu hujui kuwa ndilo jina alilopewa Rais alipoenda Kanda ya Ziwa?

Acha kutumia mihemko kijana. Huo unaoufanya siyo uzalendo bali ni hisia kali.

SASA TUAMBIE UMEMTETEA RAIS SAMIA KWA KUFANYA JAMBO GANI?
 
Back
Top Bottom