ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Tell us how Turkan, Tana River and Samburu people access to electricity.That one will put Tanzania at installed capacity of 3,900MW but generation will only be 1,500MW.
We did niIf you think you are only fighting Kagame then you are stupid...he is just a proxy.M23 has genuine concerns too.....
South africa umeisahau mzeeWe did ni
We can also do it in Congo.
- Uganda
- Comoros
- Seychelles
- Zimbabwe
- Mozambique
- Angola
Tanzania is the hope of Africa.
Even if Rwanda need liberation tupo tayari kuikomboa Africa yote.
Miaka miwili ijayo tutaikomboa Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Oh!!1 HaleluyaSouth africa umeisahau mzee
1900MW na bado haitoshelezi JN dam inaenda kuzalisha 2115 this year ambayo tunakwenda kua na 4000MW soonThat one will put Tanzania at installed capacity of 3,900MW but generation will only be 1,500MW.
Kagame ana amini ndoto ya Mchana kuwa atanufaika na machafuko Congo kama yakiwa ya kikabila, Kenya kwa sababu hamjali athari za ukabila mmeshindwa kumzuia wala kumchukulia hatua, sisi tumesema HapanaIf you think you are only fighting Kagame then you are stupid...he is just a proxy.M23 has genuine concerns too.....
Tanzania tunajenga Reli kuelekea Eastern Congo. Lazima tuhakikishe kuwa eneo hilo limetulia na watu wafanye biashara kihalali. Yeye Kagame anatakiwa afanye biashara halali na Congoman. Sisi Tanzania tutasafirisha mzigo.Kagame ana amini ndoto ya Mchana kuwa atanufaika na machafuko Congo kama yakiwa ya kikabila, Kenya kwa sababu hamjali athari za ukabila mmeshindwa kumzuia wala kumchukulia hatua, sisi tumesema Hapana
Hivi Kwa nini Huwa unajichekesha hata pasipostahili kukichekesha?Imewekeza maana yake ilishajengwa 🤣🤣
Na aliyeijenga ni yule usiempenda 😅😅😅
Hivi Kwa nini Huwa unajichekesha hata pasipostahili kukichekesha?
Wewe utakuwa ni 🌈🌈 sio Bure.
Kazi inaendelea 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C3Fc8QMO_H9/?igsh=MXdkczhrcGV6ejh0bg==
Tupo Congo kuhakikisha utulivu unakuwepo ili:-Kagame ana amini ndoto ya Mchana kuwa atanufaika na machafuko Congo kama yakiwa ya kikabila, Kenya kwa sababu hamjali athari za ukabila mmeshindwa kumzuia wala kumchukulia hatua, sisi tumesema Hapana
Yaani lazima iwepo picha ya kamfuko cha Unga. 😂