Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://www.instagram.com/p/C3GEpMqInoy/?igsh=c2s4NXI1NW9sdXhw
634492440.jpg
393849831.jpg
298095360.jpg
 
Bei ya sukari unaijua mtaani sasa hvi ??🤣🤣

Yani sukari hvi sasa ina thamani kuliko dhahabu kama vile zamani chumvi ilivokua na thamani kuliko dhahabu 😁😁😁😁

Au ukiwa chawa hutakiwi kuongelea sukari?
Hizo ndio harakati za kuinormalize Sasa , unadhani itashuka bila kuongeza supply sokoni?
 
Hizo ndio harakati za kuinormalize Sasa , unadhani itashuka bila kuongeza supply sokoni?
Eti enhhh na kazi ya bodi ni nn na wizara husika inafanya kazi gani??

Au wako kwa ajili ya kusifia tu 🤣🤣🤣🤣

Sukari wiki mbili sasa hakuna mtaani na ukienda dukani ukabahatisha kilo ni 5000 unataka nunua hutak acha
 
Bodi imefanya nini? Tani 100k zimeagizwa kutoka Nje na zimeanza kuingia ila Kuna ukiritimba sana kwenye biashara ya sukari maana inahusisha Wanasiasa.

Pia Mwendazake alibadili sheria kwamba uagizaji wa sukari ufanywe Kupitia viwanda na lengo lilikuwa kukabiliana na ukiritimba wa wafanyabiashara ila haijasaidia.

Sisi tunaoishi mipakani tunawachora tuu 😁😁😁😁

Sukari ya magendo tunayo.kama yote n bei chee.
 
Back
Top Bottom