Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili swali unauliza unataka kujua kweli.? Au unataka majibu ambayo yatakufanya ukimbie Uzi kwa leo.? 😂😂😂😂
Yaani mpaka basi tu

1707471147761.png
 
Hata hujui na vitu unaongelea. Currency yenu inazidi kuporomoka against KES na unacheka hapa. Ebu angalia dates na changes in exchange values😂

25th Jan
View attachment 2898487

29th Jan
View attachment 2898489

30th Jan
View attachment 2898492

31st Jan
View attachment 2898495

1st Feb
View attachment 2898498

2nd Feb
View attachment 2898501

5th Feb
View attachment 2898504

6th Feb
View attachment 2898507

7th Feb
View attachment 2898509

8th Feb
View attachment 2898511

9th Feb
View attachment 2898513
From 23 to 15 bado unalia tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanza hakuna mradi ambao Mwendazake aliukamilisha licha ya kukaa miaka 5 na ushee.

Hata hiyo Bandari kamalizia Samia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka 5 utasema amekaa miaka 50 kwa mambo yaliyofanyika kwenye nchi hiii
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka 5 utasema amekaa miaka 50 kwa mambo yaliyofanyika kwenye nchi hiii
Mbona anayofanya Samia ni mara 2 ya Mwendazake tena bila visingizio kama vya Mwendazake just within 3 years, Unajitoa ufahamu?

Akikaa miaka 5 Tzn si itakuwa Ulaya,ona ndugu zako Wakunya wanabyoshiboka hapa 👇

View: https://youtu.be/6jTGlOjF-U0?si=hX9fhkQCW3vPCE83
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Miaka 5 utasema amekaa miaka 50 kwa mambo yaliyofanyika kwenye nchi hiii
Mimi kwa kweli sipendi watu wanaomponda Magufuli. Ni tabia mbaya sana na za kishetani.
Hata kama unamchukia mtu inakuwa too much. Mtu alishafariki miaka karibia minne sasa lakini mtu bado anamuongelea mabaya tu. Haya ni mawazo ya kishetani.
Huyo ChoiceVariable anajifanya yupo upande wetu. Ni wa kumtazama kwa umakini.
 
Hiyo mloganzila ni hospitali ya mafunzo we jamaa.
Ukiona kuna kitu chafanyika hapo jua ni mafunzo na madaktari wengi wa hapo ni wa mafunzo.
Lakini hamjawai fanya laparoscopic kidney transplant which is a complex and more advanced.
 
Mimi kwa kweli sipendi watu wanaomponda Magufuli. Ni tabia mbaya sana na za kishetani.
Hata kama unamchukia mtu inakuwa too much. Mtu alishafariki miaka karibia minne sasa lakini mtu bado anamuongelea mabaya tu. Haya ni mawazo ya kishetani.
Huyo ChoiceVariable anajifanya yupo upande wetu. Ni wa kumtazama kwa umakini.
🚮🚮🚮🚮 Acha shobo
 
Sisi tupo hapa kwa kazi ya kuongelea Battle btn Dar es salaa and Nairobi. But huyu ChoiceVariable analeta uchonganishi wa ajabu sana.

Kusema kweli sipendi mambo yake ya kuanza kumtukana mtu ambaye hayupo. This is stupid. ChoiceVariable ukiendelea tutaanzisha vita kati yangu na wewe ya kimtandao.
Fanya Yako wewe punguani,Niko humu Toka 2017 na sijaanza kumnanga Mwendazake Leo au Jana ni since hajawa Rais,akiwa Rais na hata baada ya Kufa.

So long as Washabiki wake wapo na hawaungi mkono aliyepo na Mimi naunga mkono battle itaendelea.Waambie wakusimjlie vizuri wananielewa vyema sana.

Sio kama mnafiki uliyebdbwa huko uliko.
 
Back
Top Bottom