ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,261
Mtu unashangaa, hapo DRC mauaji ya wanawake na watoto yameshamiri, Hapo Sudan hali ni mbaya .. charity begins at home . Unafiki na kujipendekeza.Aache unafiki, washauri wake ni akina Tony Blair, sasa anasikitika nini? Je, Blair ni mpenda amani?
Hiyo ni mihemko tu ya vijana.
Uliwahi ona wapi kiwanda Cha magari kina value ya 12B? Hiyo ni garage ya Toyota ,wamewaona nyie ni mambuzi
Aondoke tu. Atuachie nchi yetu. hana uchungu na hii nchi.Mama kafeli everywhere, watu watu wanajilia minyama tu yeye amejificha Magogoni kimyaaa
Wakenya bhn midomo mirefu lkn ground hamna kitu, cjui kwnn mko hivyo pumbavu nyinyi.FYI hizo zilipitwa na wakati..sikuizi vita ni smart bombs and drones..why should i send several unguided bomb to hit 1 single target while i can use 1 smart bomb to accurately hit the target..ndio maana Himars ina chafua russia..antii guided bombs ni technology ya kitambo..iraq wenyewe hawatambui hizo sikuizi ni smart bombs na drones..in war technology matters alot.