ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,262
Nini msingi wa hii hoja Yako? Na exposure inaingiaje kwa mimi kujua taarifa za DEDs waliotapanya pesa?Ndio maana nasema hauna exposure na mamo mengi.
Nimekuambia kuna hospitali wakurugenzi wa hizo halmashauri walikamatwa kwa kutapanya pesa na hospitali hazikukamilika je unazijua????
Conference Tourism zinaendelea 👇👇
View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1755590214863729100?t=3sTPDgFV0OD9WYWddEiAqA&s=19