Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Sawa bongolala. Wewe tuambie jeshi lenu limeenda peace-keeping wapi wakafyatua angalau risasi mbili😳😳😳😳😳 Ona hii umbwa?
Wanaenda nchi zisizo na vita serious yaani migogoro ya hapa na pale na unakuta hata hawafyatui risasi hata moja, wanakwambia wamepeleka amani, masenge sana, sehemu serious za vita yameshindwa na kupata aibu, Somalia na Congo, even nchi yao Baringo na Turkana imekua tabu.