Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi pameandikwa habari za real estate.
Tanzania is a poor country. They only have 2300 dollar millionaires while Kenya has 8300. Multidollar they have 80 while Kenya has 330πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

13436795_tapatalk1619023730777_png4739cc8a6b06e40b1a6a2cd230988211.png
 
Tanzania is full of poor souls πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

See the difference between Nairobi and Dar is Slum. Mombasa ndio level ya Dar is Slum πŸ˜‚.

13437520_tapatalk1619022161211_png913d529a1be0a4788431812511bb6672.png
13437521_tapatalk1619022166534_png8795b6a43ceeffe73fa04c18356911e2.png
 
Ona unavyochekesha we kijana.
Wakazi wa hayo maeneo hata elfu kumi hawafiki.
Hayo maeneo watu wamejenga pasi na mitaa kunyooka ila hapo hakuna mrundikano wa watu kama unavyodai.
TOKA LINI MAKAZI DUNI HUJENGWA KWA MATOFALI??
HIVI MATOFALI NI UJENZI DUNI???
NYUMBA ZOTE ZA HAPO ZA TOFALI.
Eti hata elfu kumi hawafiki? Kivipi wakati Dar has close to 5 million people na huo ndio mfumo wa nyumba dar nzima? sasa hao mamilioni huishi kwenye hewa?

Talking of matofali, this is Kariobangi slum. An area made up of apartment buildings zilizojengwa na mawe, achia mbali hizo tofali zenu.
images - 2024-02-01T213938.396.jpeg


Kilaza mwenzako defined slum as ujenzi duni. Sasa swali ni je, hizo nyumba za Kariobangi ni ujenzi duni?
 
Kwani huwa hujui Kenyans are the ones that control your tourism industry?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚.

For vice versa hapo umesema ukweli. Tanzanians don't come to Kenya as tourists but as drug traffickers, human traffickers and street beggars.
ouch...lol
 
Back
Top Bottom