Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Takwimu za serikali 2022 zinaonyesha Kuna dollar millionaire around 7000 in Tanzania.
Uongo. Hao 7000 watoke wapi vile nyinyi ni maskini?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

1707038190918.png
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ World class only in your dreams. Konza is nothing compared to DODOMA.

Read it again ☝️
Yes, when it comes to open drainages, exposed electric lines, no internet cables, no traffic, no street lights.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Dodoma ina reli ya umeme and world class infrastructures, kwanza hii battle usilazimishe, hakuna ufanano kabisa.
Which world class infrastructure is Dodoma?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£. Dodoma infrastructure can't even come close to Tatu city infrastructure.
 
Umetafuta za 2020-2024 ukashindwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£. Since 2017 mmejenga real estate gani ya maana?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Lete wewe hizo za 2020-2024 ili tuamini kwamba nairobi inaikaribia Dar kwenye real estate.
 
According to Tz government, there are more than 7000 dollar millionaire in the country. Hao knil Frank ni nani Mzee.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao Knight Frank walishaweka juu ya Kenya mnashangilia kweli kweli, tena leo mnawakana?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Ebu tuonyeshe hiyo figure ya your government tucheke kidogoπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Which world class infrastructure is Dodoma?πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£. Dodoma infrastructure can't even come close to Tatu city infrastructure.
Nimekuambia hakuna ulinganisho hapo, na sina mda mchafu wa ku engage kwenye huu upuuzi.
 
Yes, when it comes to open drainages, exposed electric lines, no internet cables, no traffic, no street lights.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna hii comparison mzee, kwanini unalazimisha to compare vitu vyenye u can't πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna hii comparison mzee, kwanini unalazimisha to compare vitu vyenye u can't πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Show us Dodoma water reclamation facility πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom