President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,793
Umeachana na Army unakimbilia Polisi. Huku utaweza?
Tumalize kwanza huku.
Unajua kwa nini M23 ameanza kupiga kelele?
Umeachana na Army unakimbilia Polisi. Huku utaweza?
Hii ni gari gani! HOWO ama FAWIVECO trucks? Are you such poor hadi kununua gari za maana inawashinda?
Vipi kijana mbona unahaha tena. Umeishiwa Slaha?Who did the camo again😂😂😂 aliwaosha sana
Jiraani anapitia masaibu, hana maji, hana umeme.
😂 😂
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1753848238044565554?s=20
Hii ni registration ya Tz?😂😂😂Hii ndio naiskia kwako 😂😂😂😂 kwamba Tz inakopa helicopter kutoka Kenya.? Au uliota usiku wa jana.?
We endelea kujitoa ufahamJeshi lenu waliuliwa kwa mapanga ama?😂😂😂
Sisi hatununui mitumba wala kusubiri donations za helicoptersWhich new? Kama President wenu anakopa helicopters kutoka Kenya, Sasa new gani unaongelea?😂😂😂
😳😳😳😳😳 Ona hii umbwa?Why should I waste my time talking about an army that has never gone to any peace-giving mission?
Mnachapwa na Malawi kila siku Sasa Kenya ndio mtawezana nayo. Our police officers once crossed into Tanzania border ikawacharaza viboko kweli kweli and your government did nothing.Shukuru viongozi wako hawajawahi kuleta shobo kwa Tanzania
We hua pumbavu sana, kama hujui nchi za kiarabu wanapenda sana kutumia hizo land cruisers vitani. 👇 👇 This was during Egypt's intervention in Libya.We hujui kama kuna vikundi vya kiasi bado Egypt vya wafuasi wa Morsi?
Na huwa wanafanya mashambulio ya mtaani
But still your government is borrowing helicopters from Kenya 😂😂🤣Sisi hatununui mitumba wala kusubiri donations za helicopters
View attachment 2893452
Kwahyo hiyo heli ni mkopo tumechukua kutoka Kenya.? 😂😂😂😂
Umeishiwa sasa unataka kuingia kwenye Civilian. Kwani vifaa vya KDF vimeisha?
Manafanya maonesho? Why hatuoni on real war? Kwanza nyie wajinga mbona mmeshindwa kusolve insecurities ya North Kenya iliyowakosesa EACOPTanzania a country with only five transport military helicopters pia insongea penye wanaume wanaongea?
KDF still going strong in Somalia.
View attachment 2893261
View attachment 2893262
Hii imekosa comeback. 😂😂😂
Zimewasaidia nini? Kwa maonesho?
Tulia tukunyooshe. Unaanza kujifariji sasa. Umekosa cha kusema 🤣 🤣 🤣 This is TanzaniaBut still your government is borrowing helicopters from Kenya 😂😂🤣
Unaleta picha kwahyo ndio uthibitisho tumekopa kenya?