President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,074
- 93,481
Ulikua unataka wakujulishe ama? ๐ ๐ ๐
Mtu hujui hata military doctrine ya nchi yako utajulia wapi haya?Ulikua unataka wakujulishe ama? ๐ ๐ ๐
Ulikua unataka wakujulishe ama? ๐ ๐ ๐
Mtu hujui hata military doctrine ya nchi yako utajulia wapi haya?Ulikua unataka wakujulishe ama? ๐ ๐ ๐
Pole sana kama hukujua. ๐๐๐๐
Pole sana kama hukujua. ๐๐๐๐
View: https://x.com/DefenseNigeria/status/1658080449309077504?s=20
Pole sana kama hukujua. ๐๐๐๐
View: https://x.com/DefenseNigeria/status/1658080449309077504?s=20
Unajifurahisha ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃWatanzia tuonyesheni chuma kama Hili..the Mighty Himas..lenye linahangaisha russia kule ukraine..
View attachment 2893552View attachment 2893553
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Unatakiwa ujue nchi yako inanunua silaha kutoka wapi. Usipoelewa utaonekana mpumbavu tu. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Silaha siyo kama simu leo unaenda duka hili halafu kesho unaenda duka lile. never. 80% ya silaha nzito Tanzania inatoa Russia na China tu.
Kwanza tuanze na bajeti..kabla hatujaanza mazungumzo..๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Unatakiwa ujue nchi yako inanunua silaha kutoka wapi. Usipoelewa utaonekana mpumbavu tu. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Silaha siyo kama simu leo unaenda duka hili halafu kesho unaenda duka lile. never. 80% ya silaha nzito Tanzania inatoa Russia na China tu.
Unaonyeshwa hadi intelligence website unapinga. Pole sana, umia pole pole. ๐ ๐ ๐Sasa comments za kwenye twitter unazileta hapa.
Jifunze kwanza military doctrine ya nchi yako.
Usilazimishe tufanane mzee. Nenda kawaulize M23 sasa hivi wanahali gani.
Hawana ๐๐๐Watanzia tuonyesheni chuma kama Hili..the Mighty Himas..lenye linahangaisha russia kule ukraine..
View attachment 2893552View attachment 2893553
Mzee show off tu,hamna kitu hapa ndio maana mipaka yenu aiko salama,bandits,alshabab na kule juu ethiopia army uwa wanavuka border na kujipigia watakavyo,huwezi kusikia ujinga kama huo ndani ya ardhi ya TZ,ndani ya ukanda wa maziwa makuu hamna jeshi shupavu kama TPDF mtake msitake
Kunyan wamesikia kinachoendelea congo roho zinawaumaWestGate mall si alshabaab wanne tu waliwatia adabu?
Na bado bandits na alshabab uwa wanawaweka mid finger watakavyoKuna shida gani nayo my friend, so what if we use land cruisers, unajua terrain ya kenyan borders?
Meanwhile nionyeshe mercedes benz zenu since you do not use toyota ๐
View attachment 2893369
View attachment 2893373View attachment 2893377View attachment 2893388View attachment 2893391View attachment 2893393View attachment 2893395View attachment 2893396
check out this reconnaissance vehicle though
View attachment 2893397
Hivi jeshi la Misri, ni mission gani ya maana waliyowahi kuifanya?So according to you Egypt's Army is cheap and weak?![]()
Maku wa kikunya uwa wanaongea tu kwa hisia zao wakiwa hawajui nguvu ya TPDF
Vita ya Ukraine imeonesha wazi kuwa bajeti kubwa haimaanishi ubora wa jeshi.Kwanza tuanze na bajeti..kabla hatujaanza mazungumzo..View attachment 2893557
Tangu lini kenya inanunua SAM toka Russia?
Pole sana kama hukujua. ๐๐๐๐
View: https://x.com/DefenseNigeria/status/1658080449309077504?s=20
Hakuna nyumba mathare ni vibanda vya mabati na sewage zinazooverflow na kunukaStop beating around the bush Kwa maneno meeengi yasiyo na tija!
Sema tu umeshtuka kuona TV na fridge ndani ya nyumba Kibera.
Yaan congo iwe powerful halafu ishindwe kulinda nchi yake yenyew kutokana na waasi...hilo jeshi ni powerful kwenye nini sasa..