The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mkuu nimeona unasema kiwalani kuna makazi ya hovyo, mkuu kiwalani nyumba zimekaa kimpangilio isivyo kawaida na kila mtaa una lami fatilia utaona mzee.We kweli kitobo.
Unataka kunambia Vingunguti,Tandale,Manzese na Buguruni wanafika wakazi milioni 5??
Nimezungumzia maeneo yenye makazi ya hovyo Dar.
Kaifuatilie Kigamboni kunakojengwa miji mipya na Temeke uone kunavyobadilishwa.
Maeneo yanayosalia kuwa na makazi mabovu ni wilaya ya Ilala(vingunguti,Buguruni,kiwalani) na wilaya ya Ubungo(Tandale,Manzese).
Na bado kunaendelea kuvunjwa kila leo.