Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naongelea haya mawazo yenu kuwa nchi ya israel haifai kuexist hiyo ardhi yote ni ya wapalestin
Ukweli ni kwamba. Eneo linaloitwa Israel ni Palestine. Israele existed 1945, baada ya waingereza kuligawa eneo hilo.

Soma History mzee. Baada ya wayahudi kuchinjwa kule Ujerumani, Wayahudi dunia nzima walipiga kelele kuwa wanataka wawe na nchi yao ya wayahudi. Ndipo uingereza ikaigawa Palestine. Je, Palestine wanaamuliwa maisha yao na waingereza. The original jews ndio hao Palestinians. Na sio hao akina Netanyahu.

Netanyahu Asili yake ni Poland.
 
Lete ushahidi wa kuwepo kwa taifa la Palestine eneo hilo. Waisraeli wameishi eneo hilo hadi kabla ya kuzaliwa kwa dini ya kiislamu. Walifanya kushindwa kuangamizwa na kufurushwa na milki kama vile roman na ottoman. Muingereza alipomshinda ottoman na kunyakua eneo hilo akaamua kuwarudisha wayahudi kwenye ardhi yao halisia. Majina kama vile jerusalem na bethlehem si majina ya kiarabu bali ya kiyahudi
 
Hakuna kabila linaloitwa Israel kijana wangu.
Ngoja nikupatie historia kidogo upate kujua.

Sitaki nianzie miaka ya BCE nataka nianzie kwenye utawala wa Roman Empire.
Katika utawala wa mfalme Herod akiwa chini ya utawala wa Roman Empire. Hakukuwa na nchi inayoitwa Israel badala yake kulikuwa na nchi Judea, Samaria na Idumea
1706873030940.png

Baanda ya miaka mingi kupita miaka ya 210 CE eneo hilo liliitwa Province of Syria Palaestina
1706873167484.png

Miaka ya 476 CE eneo jilo lilikuwa chini ya Byzantine Empire
1706873267385.png

Mpaka hapo Palestine inajulikana hakuna Israel.

Baadaye kukaja kipindi cha Caliphate eneo hilo bado halijulikani kama ni Israel.
1706873403257.png

Miaka ya 1095–1291 ilikuwa ni Crusader period (Nenda katafute maana ya Crusade) eneo hilo likaitwa kingdom of Jerusalem

1706873524915.png

Kikaja kipindi cha Ayyubid and Mamluk periods miaka 1193–1382

1706873662006.png

Tukaja kufika kwenye Ottoman Empire Bado hakuna taifa linaitwa Israel

1706873754257.png

Baada ya kuondoa biashara ya utumwa na kuvunjika kwa Ottoman kuliunda kitu kinaitwa League of Nations na British walipewa kusimamia eneo hilo.
Hii hapa ndiyo British Mandate ya Kwanza kabisa

Whereas the Principal Allied Powers have also agreed that the Mandatory should be responsible for putting into effect the declaration originally made on November 2nd, 1917, by the Government of His Britannic Majesty, and adopted by the said Powers, in favor of the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, it being clearly understood that nothing should be done which might prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country.

Hapa Bado eneo hilo linatambuliwa ni Palestine. Niambie sasa hiyo Israel inatoka wapi?
 
Hakuna kabila linaloitwa Israel kijana wangu.
Ngoja nikupatie historia kidogo upate kujua.

Sitaki nianzie miaka ya BCE nataka nianzie kwenye utawala wa Roman Empire.
Katika utawala wa mfalme Herod akiwa chini ya utawala wa Roman Empire. Hakukuwa na nchi inayoitwa Israel badala yake kulikuwa na nchi Judea, Samaria na Idumea
View attachment 2891776

Baanda ya miaka mingi kupita miaka ya 210 CE eneo hilo liliitwa Province of Syria Palaestina
View attachment 2891777

Miaka ya 476 CE eneo jilo lilikuwa chini ya Byzantine Empire
View attachment 2891779

Mpaka hapo Palestine inajulikana hakuna Israel.

Baadaye kukaja kipindi cha Caliphate eneo hilo bado halijulikani kama ni Israel.
View attachment 2891781

Miaka ya 1095–1291 ilikuwa ni Crusader period (Nenda katafute maana ya Crusade) eneo hilo likaitwa kingdom of Jerusalem

View attachment 2891782

Kikaja kipindi cha Ayyubid and Mamluk periods miaka 1193–1382

View attachment 2891784

Tukaja kufika kwenye Ottoman Empire Bado hakuna taifa linaitwa Israel

View attachment 2891789

Baada ya kuondoa biashara ya utumwa na kuvunjika kwa Ottoman kuliunda kitu kinaitwa League of Nations na British walipewa kusimamia eneo hilo.
Hii hapa ndiyo British Mandate ya Kwanza kabisa

Whereas the Principal Allied Powers have also agreed that the Mandatory should be responsible for putting into effect the declaration originally made on November 2nd, 1917, by the Government of His Britannic Majesty, and adopted by the said Powers, in favor of the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, it being clearly understood that nothing should be done which might prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country.

Hapa Bado eneo hilo linatambuliwa ni Palestine. Niambie sasa hiyo Israel inatoka wapi?
Unaua nzi kwa RPG kaka.
 
Lete ushahidi wa kuwepo kwa taifa la Palestine eneo hilo. Waisraeli wameishi eneo hilo hadi kabla ya kuzaliwa kwa dini ya kiislamu. Walifanya kushindwa kuangamizwa na kufurushwa na milki kama vile roman na ottoman. Muingereza alipomshinda ottoman na kunyakua eneo hilo akaamua kuwarudisha wayahudi kwenye ardhi yao halisia. Majina kama vile jerusalem na bethlehem si majina ya kiarabu bali ya kiyahudi

Hivi unajua kama hapo hapo Jerusalem kulikua na wayahudi wanaishi vizuri na waarabu??
Wayahudi walikuwepo na ndio hao walioanza vuguvugu 1946 wakataka kuipindua British Palestine mandate.
Kipindi hiko chote kulikua kuna watu wa jamii ya kiisrael ila sio taifa la Israel.
Na Ottoman empire haikuangushwa na muingereza pekee,All Imperialist nations plus some arab countries waliungana kuivunja Ottoman na walianza kuimega ila kuanguka ilikuja kuanguka 1945 vita ya pili ya dunia.
 
Back
Top Bottom