Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is more than 20 slums in Nairobi, kibera is a one of them.

Je unaweza kunisaidia kutaja slums zingine zilizomo Nairobi?
You know they 20. Sasa unataka nikusaidie Tena and you already know the number?
 
Hii picha moja unaionesha tangu jana. Tukisema wewe ni mshamba na mjinga tutakosea? Air Tanzania ina enda every week to China na China ndiyo center ya World Technology.

Hilo bichwa lako unatumia kufugia nywele pekee yake?
Kubishana na watu ambao wako na huu mentality ni balaa 😂
What kind of argument is this. Just saying words, nothing comprehensive about it
 
Kwa hiyo nyie ndio wa kwanza duniani kuwa na Alliance High School. Mbona unazidi kuwa mshamba hivyo?😁
Ushamba unawasumbua, hajui chuo cha St John's Dodoma kilijengwa kama Alliance High School. Nyerere alipotaifisha shule za kanisa ikaitwa Dodoma Secondary school (Dodoma seko). Kikwete alipozirudisha shule za kanisa ndo wakaamua kikifanya chuo.
 
Wakunya msitetemeke Wala kupanic
20240201_215543.jpg
20240201_215541.jpg
20240201_215534.jpg
20240201_215538.jpg
20240201_215556.jpg
haya ni mambo madogo tuu Tzn tunafanya,kubwa kuliko Bado inakuja 😆😆
 
Ajabu kuna zaidi ya 2.5m kenyans pale 🤣🤣
Achilia mbali slums zingine kama mathare , kariobangi, makuru kayaba, kisumu ndogo, umoja etc
Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.

Eti Umoja ni slum!?!😆😆😆😆
Well bongolala, this is Umoja 'slum'
images - 2024-02-01T215430.912.jpeg
images - 2024-02-01T215414.225.jpeg
images - 2024-02-01T215330.517.jpeg
images - 2024-02-01T215248.635.jpeg
images - 2024-02-01T215143.649.jpeg
images - 2024-02-01T215103.958.jpeg

Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg
1695531709384.png_1.jpg

Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
 
Eti vyo na mifumo ya mahi taka?

Zipi hizo wakati zaidi ya nusu ya Dar haina sewer system mfumo ni pit latrines?!

And did you mention Kariobangi? The larger part of kariabngi is way better than your uswazi hovels that dot your house nyire cityscape
View attachment 2891101View attachment 2891102View attachment 2891103View attachment 2891106

Khaaaaa!!!
Unapoambiwa kuhusu mfumo wa maji taka unaelewa nini kijana??
Wapi we umeona bongo watu wanatupa kinyesi kama kibera?
Nimetaja kibera sijataja kariobangi.
Nimetaja maeneo masikini ya Tanzania na maeneo ya masikini Kenya.
NITAFUTIE MAENEO TANZANIA WATU WANAKUNYA KATIKA MIFUKO NA KULALA NYUMBA ZA MABATI CHAKAVU KAMA KIBERA.
 
Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.

Eti Umoja ni slum!?!😆😆😆😆
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121

Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Kwani ww unafkiri kwann kibera inatajwa kua the largest slum on planet unajua sababu kubwa ?? Sababu kubwa ni sehemu ndogo iliokusanya maiti watarajiwa wengi sana kuliko idadi ya eneo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna kitu kitabadilisha kua kibera is not the biggest slum on earth hakuna na haitatokea 🤣🤣🤣🤣

View: https://twitter.com/jeff_bys/status/1528706331221401600?t=cX_xu07kvc6BP6oPWdbhZA&s=19
 
Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.

Eti Umoja ni slum!?!😆😆😆😆
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121

Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Baada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.

Kuna mtu jirani yangu hajawahi kuona slums. Hebu tuoneshe chache asuze moyo wake.
 
Utakuwa zuzu kutoona uwezo wa Rais Hussein Mwinyi, huyu angekuwa Rais wetu sasa tusingekuwa na ujinga ujinga wa kukatika kwa umeme.
Uwezo upi huo ambao anaifanya huko Zenj na Bara haufanyiki?

Saizi anakimbiwa na Mawaziri na Serikali ya umoja Iko hatarini
 
Baada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.

Kuna mtu jirani yangu hajawahi kuona slums. Hebu tuoneshe chache asuze moyo wake.
What? 😂😂 we ni muongo kushinda wote huku
 
Back
Top Bottom