Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Hata hiyo data center unafikiri ni kitu cha maana basi, ni warehouse tuu lililojaa servers na few operators. Haina impact yoyote ya maana kwa nchi. Ruto angekuja na mpango wa kuwapatia makazi bora na ajira watu wa kibera ningemuaona wa maana.Nyie Wakenya mnapenda kujihangaisha na vitu visivyo na mpango kwa maisha yenu ya leo. Anzeni na chakula kwanza, then maji, umeme, usafiri n.k