Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna asiye muislamu anayeweza kukubaliana na utumbo huu, naomba uje kule husika achana na uzi usiohusiana....mtashindwa tu.

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Swali kabla ya taifa la Israel mwaka 1945 nchi hiyo ilikuwa inaitwa nchi gani?

Baada ya Wayahudi kuchinjwa huko German suggestions zipi zilitolewa kuhusu Israel? Je, unajua Uganda nayo ilikuwa kwenye suggestions hizo?

Namalizana na wewe hapa hapa. Maana umekuja kwa namna hiyo.

I AM A TEACHER NAKUPIGA NA KUFUNDISHA.
 
Acha nikuelekeze.
Hiyo ni miundombinu ya kiuchumi iliochagiza pesa za kukua kwa mji wa Mbeya.
Na mbeya mjini hiyo hapo
Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.
 
Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.
Ngoja niingilie hili suala.
Vitu vinavyofanya mji uitwe jiji ni moja ya vifanyavyo:-
1. Population kuwa kubwa katika mji
2. Shughuli za uchumi kuwa kubwa.

Infrastructure ni matokeo ya mambo hayo mawili niliyoyataja. Infrastructure siyo sababu ya msingi eneo husika kuitwa City.
Uliza swali lako sasa la mzingi tuanze kuiongelea mbeya kwanini ni jiji.
 
Kaka hayo yote nimeyaeleza.
Mwenzie Nexcie kaelewa,ila huyu jamaa kichwa ngumu.
Mtasumbuana,unachojaribu kumueleza nishamueleza toka nyuma.
 
Umeulizwa infrastructure inafanya Mbeya iwe city, Sio infrastructure inayochanngia ukuaji wa Mbeya. Understand the question.
Mji unaitwaje mji kama sio uchagizaji wa ukuaji??
Uchagizaji wa ukuaji wa sehem ni sababu moja wapo inafanya mji kuwa mji .
Au mji unaota tu kama kisamvu??
Au infrastructure zinajengwa pasi na kutizama purpose?
 
Kaka hayo yote nimeyaeleza.
Mwenzie Nexcie kaelewa,ila huyu jamaa kichwa ngumu.
Mtasumbuana,unachojaribu kumueleza nishamueleza toka nyuma.
Akiona ID yangu lazima awe mdogo kama mchwa. Nilishawahi kumyoosha kwenye mtandao wa wanaijeria unaitwa Nairaland na huko SkyscraperCity. Ananiogopa mno. Sasa hivi atakimbia hutamuona tena atakuja na IDs zake zingine.
 
Kwani wewe ni mkatoliki?
Ni nini tofauti ya crusade and jihad?
Catholic ndio wameua watu wengi sana duniani kwa kuwalazimisha waifuate dini yao.

Bahati mbaya sana kwa miaka hii wapo na upinzani mkubwa sana wa
1. Protestant Religions
2. Orthodox
3. Islam
4. Hindu
Na dini zingine nyingi tu.
Unatakiwa uwe upande wa faida.

Mnachinja watu mnaanza kutaja taja Wakatoliki, uislamu ndio kero dunia hii na ndio unaua watu kwa maelekezo ya 'mungu' wenu.....
 
Swali kabla ya taifa la Israel mwaka 1945 nchi hiyo ilikuwa inaitwa nchi gani?

Baada ya Wayahudi kuchinjwa huko German suggestions zipi zilitolewa kuhusu Israel? Je, unajua Uganda nayo ilikuwa kwenye suggestions hizo?

Namalizana na wewe hapa hapa. Maana umekuja kwa namna hiyo.

I AM A TEACHER NAKUPIGA NA KUFUNDISHA.

Jina la nchi halihusiani, pale wamezikwa mababu wa Wayahudi hata kabla muarabu hajabuni dini yenu.
 
Mji unaitwaje mji kama sio uchagizaji wa ukuaji??
Uchagizaji wa ukuaji wa sehem ni sababu moja wapo inafanya mji kuwa mji .
Au mji unaota tu kama kisamvu??
Au infrastructure zinajengwa pasi na kutizama purpose?
Kwa hivo Tuite sehemu isiyo mji, mji Kisa ina vichochea uchumi ama unamaanishaje? Tuite Serengeti jiji? Mt. Kilimanjaro pia Tuite jiji? Selous National park nayo pia mji? Hilo bwawa la JNHHP Tuite Jiji pia? Wacha kufikiria kwa mavi mjikoni.
 
Mzee unaleta ubishi wa kipumbavu.
 
Tanzania and Uganda launch Lake Victoria maritime project for enhanced safety and connectivity.​

The Tanzanian and Ugandan governments have initiated the Multinational Lake Victoria Maritime Communication and Transport (MLVMCT) project, focusing on physical infrastructure development.

Implemented through the Lake Victoria Basin Commission (LVBC) in Ilemela District, Tanzania has allocated a 13,827 square meter land for various purposes, including the installation of the Search and Rescue main Station.

Captain Emmanuel Marijani, the Tanzania National Project Coordinator from the Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC), emphasized the importance of a communication tower for enhancing maritime security on Lake Victoria, ensuring the safety of all lake users.

The construction cost at the Ilemela site is $1.87 million, in addition to a grant secured by both governments from the African Development Bank (AfDB).

Umefufukia pande zipi Kibera boy
Hehehe kwa sasa hivi niko busy kupambana na magaidi ya dini yenu...
Nitakuja kuteleza kwa SGR ya umeme kwenu huko, natumai mpaka sasa mumeitumia hadi mumekinai.
 
Tatizo lako unadhani wanaochukia vitendo vya Israel ni waislam. No no no!

Ninge kufundisha history, tatizo kichwa chao hicho kimejazwa takataka.
Kwa kifupi tu. Hao wanaojiita Israel siyo Jews bali ni wezi toka UK na USA wenye lengo la ku cotrol mashariki ya kati.

Niite kaka nikuletee full picture.
Hizi chuki ndo mmekaririwa tangu utotoni hadi kuzaisha magaidi
 
Back
Top Bottom