Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sorry kaka kidogo. Hakukuwa na waisrael eneo hilo kaka. Waliokuwepo pale ni Wayahudi (Jews). Na waliouliwa na Hitler kule Ujeruman ni wayahudi. Na waliuliwa huko poland miaka ya 1960 na wengine waliletwa Tanzania na Iran wale walikuwa ni Wayahudi (Jews).

Tafuta taarifa inaitwa Holocaust in Poland. Na ufuatilie. Tafuta taarifa inayohusu Kidugala settlement
Utakuta Wapoland wengi sana waliletwa Tanzania. Na hao ni Jews.

Huenda hapo ulipo wewe upo na damu ya Jews.
Mimi ninapinga hili suala la Marekani na Uingiereza kuikalia Palestine kwa mabavu na wao kujiita Jews. Wakati Jews halisi wanawaua hapo Palestine.

Ngoja tuachane na mada hii
Kwani hawa wayahudí wanashida gan mpaka wapigwe kokote walipokuwepo🤔
 
Vingunguti ndio maeneo ya walala hoi kama ilivyo Tandale,Manzese na Mburahati.
Sasa hayo maeneo umeona nyumba za mabati chakavu?
 
Kama kuna uongo si ningerekebishwa?
Unaji contradict mwenyewe.
Pitia post za nyuma kuhusu huu mjadala na nexcie.
Kawaida hujui kujibu swali. Nimekuuliza, nionyeshe post aliyokubaliana nawe......ama umquote aeleze kama ni kweli kakubaliana nawe. The reason you get angry and think people don't understand you is because you don't understand questions and bring in different arguments instead of answering the question.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Sina cha kukusaidia
Unajua Kibera hadi ina Bank. Vingunguti kwa panya road kuna benki gani?

Screenshot 2024-02-02 174332.jpg
 
Back
Top Bottom