Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.

Eti Umoja ni slum!?!😆😆😆😆
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121

Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Hata ruto anakiri ukweli kwann ww usikubali ukweli ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

View: https://twitter.com/K24Tv/status/1708430809890476279?t=VW4kV9ZOdMByToAOCvt5oQ&s=19
 
Uwezo upi huo ambao anaifanya huko Zenj na Bara haufanyiki?

Saizi anakimbiwa na Mawaziri na Serikali ya umoja Iko hatarini
Bara kuna resources nyingi hivyo maendeleo hayaepukiki. Awamu ya sita wameshindwa kuitangaza Tanzania kwenye ufunguzi wa mashindano ya kwanza kabisa Afrika, wanamwachia Kagame aitangaze Rwanda, kama siyo uzuzu ni nini? Mwinyi anainadi Zanzibar kwenye EPL, mama Samia alishindwa nini kufanya hivyo, zaidi ya kuitwa tour guide kwenye muvi yake ya kifisadi.
 
Baada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.

Kuna mtu jirani yangu hajawahi kuona slums. Hebu tuoneshe chache asuze moyo wake.
Wewe hauna jipya. The things you call slums zikiletwa Dar zinakuwa middle-class areas.

Kawangware
images - 2024-02-01T222202.767.jpeg
images - 2024-02-01T221915.227.jpeg
images - 2024-02-01T221828.429.jpeg
images - 2024-02-01T221800.311.jpeg

Dar middle-class areas😆😆😆
images - 2023-11-30T202027.701.jpeg
images - 2023-11-08T180255.934.jpeg
images - 2023-11-08T180341.867.jpeg
images - 2023-11-08T180227.184.jpeg
 
Bara kuna resources nyingi hivyo maendeleo hayaepukiki. Awamu ya sita wameshindwa kuitangaza Tanzania kwenye ufunguzi wa mashindano ya kwanza kabisa Afrika, wanamwachia Kagame aitangaze Rwanda, kama siyo uzuzu ni nini? Mwinyi anainadi Zanzibar kwenye EPL, mama Samia alishindwa nini kufanya hivyo, zaidi ya kuitwa tour guide kwenye muvi yake ya kifisadi.
Una matatizo wewe ya nongwa sio Bure.Basi sawa
 
Mwarabu bandia unakuanga fala. 😂 😂 😂 Wewe chochote unaona kwa mtandao unaamini. Wacha nikucheke tena, 😂😂😂😂 Kumbe hujui PET/CT machine. Hio machine inaitwa vitalbeam or truebeam linear accelerator inatumika kufanya radiotherapy. Ndio hii hapa at Mombasa Cancer Center. 👇👇

View: https://x.com/ntvkenya/status/1491036459981508609?s=20
 
Kipimo cha mji ni watu,makazi,hitaji la miundombinu na ongezeko la shughuli za kiuchumi.
Je miji yenu ilijengwa tu pasi na kuzingatia hilo jambo?
Mbeya iko na miundumbinu zipi to give it a city status?
 
60 to 70% wanaishi kibera what about other 30 lovely slums ??🤣🤣🤣🤣🤣

Mtu anakaza fuvu wakat dunia nzima inaitambua kibera kama ndio kinara kwa worse slum on planet

View: https://twitter.com/MBashende/status/1547253414991695873?t=rmIrCsI0AaUMSsbhgX0CbA&s=19

View: https://twitter.com/ngmaroa/status/1111367014591926277?t=lyRgOE9Yh6DiMaVPYmvtXw&s=19

60% of Nairobi residence live in kibera, na upo very confident ukipost tweets zingine hapa. Wewe ni dwanzi and am glad hamna mtu hapa huwa anakuchukulia serious
 
Mbeya iko na miundumbinu zipi to give it a city status?

Ujuavyo wewe miundombinu ni maghorofa tuh?
Kuna miundombinu ya kiuchumi ya kilimo na madini.
Na pia kumeleta uhitaji wa kuongezeka miundombinu mingine ambayo iko mbioni kujengwa kwasababu ya ongezeko la watu.
 
60% of Nairobi residence live in kibera, na upo very confident ukipost tweets zingine hapa. Wewe ni dwanzi and am glad hamna mtu hapa huwa anakuchukulia serious
Mbuni ni ndege wa ajabu. Mbele ya hatari anaficha kichwa chake eti asipoona hatari hatari haitamwona yeye. Kumbe matako bado yanaonekana waziwazi.
-Wahenga walisema
 
Wabongo bado munashibikia CT Scan kwa hospitali za mikoa. 😂😂😂 Kenya will always be 5 steps ahead of you.

Radiotherapy machines now available in the following Cancer Centers in Kenya. 👇 👇

View: https://x.com/MOH_Kenya/status/1618496026683510784?s=20

Step ahead of us in what??
Maybe in slums.
Ila katika afya tusha prove kuwa ukanda huu hakuna nchi inayotuweza ndio maana tunapokea wageni wengi wa nchi jirani kuliko nyie.
 
Mbuni ni ndege wa ajabu. Mbele ya hatari anaficha kichwa chake eti asipoona hatari hatari haitamwona yeye. Kumbe matako bado yanaonekana waziwazi.
-Wahenga walisema
Hiyo saikolojia ya ufinyu wa mawazo, hata watoto (chini ya miaka 2) wanayo. Mtoto akificha macho na mikono yake anadhani humuoni kwa kuwa yeye hakuoni.
 
Ujuavyo wewe miundombinu ni maghorofa tuh?
Kuna miundombinu ya kiuchumi ya kilimo na madini.
Na pia kumeleta uhitaji wa kuongezeka miundombinu mingine ambayo iko mbioni kujengwa kwasababu ya ongezeko la watu.
Haswa, Joburg ilijengwa na machimbo ya dhahabu, Dubai imejengwa kwa mafuta machafu.
 
Back
Top Bottom