Acha nikuelekeze.Kwa hivo hapo Ni mjini? Una akili timamu wewe?
Hiyo ni miundombinu ya kiuchumi iliochagiza pesa za kukua kwa mji wa Mbeya.
Na mbeya mjini hiyo hapo
Acha nikuelekeze.Kwa hivo hapo Ni mjini? Una akili timamu wewe?
Bwege nazi huyo😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kachanganyikiwa
these people have no idea of the greater Nairobi clearly.....they think its KICC and CBDPlane sighting too as JKIA is only 3 minutes drive away. That is just phase 1 and 2. Construction of phase 3,4 and 5 is on track. And this is only one development, there are thousands of such upcoming projects in Nairobi and its environs. Alafu kuna majamaa wanajaribu kulinganisha Nairobi with their shitty village 😂😂😂
Village upgrading program manenosWakenya wote hasa KANAIRO tazameni infrastructure hii ilivyo world class, kaeni mbali na Dodoma nyie vibera.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lazma ni konza
All new tech and medical companies zinaingia ni. Huko
Hakuna huduma ya afya Kenya inafanya na haifanyiki Tanzania ila kuna huduma za afya zinafanyika Tanzania tu East, west and central of Africa.
Mazingira ya Israel yakoje kijana kutoka Kibera?
Nairobi nzima imezungukwa na slums, taja mji wowote Kenya nitakuonesha slum.Tofauti ni unapost picha ya kibera ambayo ni slum, kutetea hoja kuwa mji wenu unakaa slum karibia yote 😅
Yaani unanichekesha sana. Kwa kujifariji wewe ni bingwa sana. Lakini uharisia unauona. Zama za Catholic kuitawala dunia imepitwa na wakati.
Kwa sasa ni multi religions mzee.
Amka utajikojolea mdogo wangu.
Sio magaidi ya Mombasa Kenya?
Tatizo lako unadhani wanaochukia vitendo vya Israel ni waislam. No no no!Tuambie maana si nyie ndio huwa mumekaririshwa kuichukia Israel kwenye ilmu zenu za madrassa, mnachukia msichokijua?? Njoo kule achana na uzi usiohusiana na mauzombi ya dini yenu.
Tatizo lako unadhani wanaochukia vitendo vya Israel ni waislam. No no no!
Ninge kufundisha history, tatizo kichwa chao hicho kimejazwa takataka.
Kwa kifupi tu. Hao wanaojiita Israel siyo Jews bali ni wezi toka UK na USA wenye lengo la ku cotrol mashariki ya kati.
Niite kaka nikuletee full picture.
Kwani wewe ni mkatoliki?Umeanza kubwabwaja, wakatoliki wanahusiana wapi na wapi.....njoo kule achana na huu uzi hauhusiani na uzombi wa dini yenu......