Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TZ hatuko east africa
4 of 4 in Africa😂😂👇👇

r/electricvehicles - Rivian R1T's spotted in Kenya headed for a wildlife conservancy.
 
Wabongo mumezoea kudanganywa na serikali ya CCM, ila nafurahia kuona kuna wenzenu ambao wako open minded. 👇 👇 😂😂


View: https://x.com/RuitaBilly/status/1696940384897654992?s=20


Tulia wewe kama mngekua munajiweza dawa za TB na saratani zimewaishiaje??
Hata kama Ocean road pekeake ndio ina PET CT ni sawa kwasababu Ocean road ndio kitengo kikuu cha saratani Tanzania.
Mpaka watu wa SADC wanatibiwa pale.
Nchi jirani zaja pale kupata huduma ya saratani,vipi ninyi mna kitengo kikubwa cha saratani kama Ocean road?
 
Yani umepost G-Wagon Tena Brabus Kuna zombie liko Na jina la planet limesema Ni mtoto wa Gari alafu akapost VXR Tena pre-2020 model eti ndio Gari. Jamaa hajui Brabus inaweza nunua hizo VXR Kumi. Nakwambia watu humu hawana exposure kabisa.🤣🤣🤣
Huyo anajua hata Brabus ni nini kweli. Aingie YouTube channel inaitwa Supercar Blondie. Huyo mwanadada anachambua magari vilivyo. Atapata elimu ya magari kidogo kama yeye sio wale wa kulemewa na kiingereza
 
Back
Top Bottom