President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,775
- 89,801
Najua kabisa unaona aibu mwenyewe 🤣 🤣 🤣Mazense middle-class area
View attachment 2890966
Hii hapa 👇 👇 👇 👇 Ni Kibera. Tafuta kama utaona nyumba za kuta za mabati hapa tz.
Najua kabisa unaona aibu mwenyewe 🤣 🤣 🤣Mazense middle-class area
View attachment 2890966
General Electric Healthcare moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya kutengeneza medical equipment za cancer wakona taarifa kwako. 👇 👇 👇Tulia wewe kama mngekua munajiweza dawa za TB na saratani zimewaishiaje??
Hata kama Ocean road pekeake ndio ina PET CT ni sawa kwasababu Ocean road ndio kitengo kikuu cha saratani Tanzania.
Mpaka watu wa SADC wanatibiwa pale.
Nchi jirani zaja pale kupata huduma ya saratani,vipi ninyi mna kitengo kikubwa cha saratani kama Ocean road?
Mzee CT Scan ya Samburu umegoma kutuwekea? 🤣 🤣 🤣General Electric Healthcare moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya kutengeneza medical equipment za cancer wakona taarifa kwako. 👇 👇 👇
General Electric Healthcare moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya kutengeneza medical equipment za cancer wakona taarifa kwako. 👇 👇 👇
Tayari umeshaumbuka. Sasa sijui kwa nini unaendelea kutapatapa.General Electric Healthcare moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya kutengeneza medical equipment za cancer wakona taarifa kwako. 👇 👇 👇
Tttttttt yani 2021 wakati huo ndio munahangaika na kitengo cha saratani??General Electric Healthcare moja ya kampuni kubwa zaidi duniani ya kutengeneza medical equipment za cancer wakona taarifa kwako. 👇 👇 👇
Kitengo anachoniletea ndio hiki kishindane na hospitali kongwe ya Ocean road??Tayari umeshaumbuka. Sasa sijui kwa nini unaendelea kutapatapa.
Supercar blondie has access to cool rides but is very useless at reviewing. Try Doug Demuro. That guy understands cars.Huyo anajua hata Brabus ni nini kweli. Aingie YouTube channel inaitwa Supercar Blondie. Huyo mwanadada anachambua magari vilivyo. Atapata elimu ya magari kidogo kama yeye sio wale wa kulemewa na kiingereza
45% Slums, 20% pori, size ya Nairobi 696.1 km² Raha inayo kufanya u post hapa unaitoa wapi?Tofauti ni unapost picha ya kibera ambayo ni slum, kutetea hoja kuwa mji wenu unakaa slum karibia yote 😅
Ukipata hii mashine Ocean Road nitafunga hii account. Sibishani tena hadi unionyeshe moja.Tttttttt yani 2021 wakati huo ndio munahangaika na kitengo cha saratani??
Ocean road toka 1996 imekua kitengo kikuu cha saratani.
Na hiki kitengo hakistahili kuitwa kitengo kikubwa maana serikali yenu ilitoa taarifa kuwa kuna uhaba wa dawa za saratani,kitu ambacho OCEAN ROAD HAKIJAWAHI KUTOKEA
Haya sasa hii ndiyo DarTofauti ni unapost picha ya kibera ambayo ni slum, kutetea hoja kuwa mji wenu unakaa slum karibia yote 😅
Hii picha moja unaionesha tangu jana. Tukisema wewe ni mshamba na mjinga tutakosea? Air Tanzania ina enda every week to China na China ndiyo center ya World Technology.Ukipata hii mashine Ocean Road nitafunga hii account. Sibishani tena hadi unionyeshe moja.
View attachment 2891001
Bora hapo kuliko nyie mlivyojazana kibera na kaliobangWakati nyinyi mmejazana hapa na unaona mko na àfueni kutuzidi
View attachment 2890263View attachment 2890264View attachment 2890265
Rais pekee anaeleweka in EA. Kudos 👏Hapa tunaenda kuia Kenya kwenye Utalii. Na airport ya Kenya inaenda kufa rasmi.
View attachment 2890954
Hvi ww unajua PET scan inavokaa🤣🤣🤣🤣Kitui County PET/CT machine👇👇, vipi fala, Arusha kuna PET/CT au bado wanasifiri hadi Dar? 😂 😂 😂
![]()
Rais pekee anaeleweka in EA. Kudos 👏
...
View: https://twitter.com/debrah_nk/status/1753098511154127000?t=iLNDQqZRIgMvP0II8n6fDg&s=19
Hapana inaonwa na flying toilet za kibera🤣🤣Slum huonwa na satellite?
Hadi Sasa umeleta Kenya CT Scans 13 vs Tzn 46Ukipata hii mashine Ocean Road nitafunga hii account. Sibishani tena hadi unionyeshe moja.
View attachment 2891001