Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipata hii mashine Ocean Road nitafunga hii account. Sibishani tena hadi unionyeshe moja.
View attachment 2891001
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kijana hata kusipokuwepo hiyo mashine hakuizuii Ocean road kuwa kituo bora cha saratani kuliko cha kwenu.
Kuna mbadala wa kutumia sio lazima kitumike unachoona wewe chafaa.
Kenya hospitali inayoizidi ocean road ni hiyo ya wahindi HCG cancer hospital,na ni ya private tena ya wahindi.
Ila government Kenya bado.
 
Kipimo kinachotumika Tanzania kutambua jiji au mji ni idadi ya watu, hata hivyo sioni tataizo la hiyo video.

Kipimo cha mji duniani kote ni
1)Ongezeko la watu.
2)Ongezeko ama ukuaji wa majengo.
3)Ongezeko ama ukuaji wa shughuli za kiuchumi.
4)Ongezeko ama hitaji la miundombinu kwaajili ya kuendana na ongezeko la watu.
Haijalishi sehemu ina maghorofa au laah!Ila hivyo ndio vipimo vya sehemu kuwa mji.
Labda kama hajasoma geography factors for urbanization .
 
Kipimo kinachotumika Tanzania kulitambua jiji ni idadi ya watu, hata hivyo sioni tataizo kwenye hiyo video.
So that's your yardstick in Tanzania? That's laughable anyway. Now I understand why Mbeya is a city
 
So that's your yardstick in Tanzania? That's laughable anyway. Now I understand why Mbeya is a city
Kipimo cha mji ni watu,makazi,hitaji la miundombinu na ongezeko la shughuli za kiuchumi.
Je miji yenu ilijengwa tu pasi na kuzingatia hilo jambo?
 
Habari njema 😆😆

View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1753123548946747847?
20240201_070323.jpg
t=cKI0fuFoJ4_NdRtap49IoA&s=19
 
Kipimo cha mji duniani kote ni
1)Ongezeko la watu.
2)Ongezeko ama ukuaji wa majengo.
3)Ongezeko ama ukuaji wa shughuli za kiuchumi.
4)Ongezeko ama hitaji la miundombinu kwaajili ya kuendana na ongezeko la watu.
Haijalishi sehemu ina maghorofa au laah!Ila hivyo ndio vipimo vya sehemu kuwa mji.
Labda kama hajasoma geography factors for urbanization .
Siyo sehemu zote wanatumia vigezo hivyo, Marekani wao sehemu inakuwa jiji pale inaposajiliwa kisheria, hata kama ina watu 10 tuu.
 
Bora nyumba za uswazi kuliko majumba ya mabati
Hizo nyumba za uswazi zina vyoo,mifumo ya maji taka na huduma zingine za kawaida .
Je kibera na slum zingine zipo hivyo?
Eti vyo na mifumo ya mahi taka?

Zipi hizo wakati zaidi ya nusu ya Dar haina sewer system mfumo ni pit latrines?!

And did you mention Kariobangi? The larger part of kariabngi is way better than your uswazi hovels that dot your house nyire cityscape
images - 2024-02-01T213938.396.jpeg
images - 2024-02-01T214137.516.jpeg
images - 2024-02-01T213552.265.jpeg
images - 2024-02-01T213853.487.jpeg
 
Back
Top Bottom