Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.

View attachment 2890338

Yani unaleta vi article vya google.
Mie nimesomea masuala ya afya,unaonaje tuanze kujadili medical laboratory hiko kifaa kina function vipi kiasi nikasema haihitaji kifaa kingine??
 
Chezenu tu ile siku Brigadier atakasirika tutateka hicho kinchi kenu kya ukiswahili uswazi ya tanganyika
mwanzia kdf.jpg
 
Back
Top Bottom