Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Football Clubs facilities Tanzania. Kenya Black zero

1706697588185.png


1706697609158.png


1706697631767.png


1706697659225.png
 
This is a list of Slums in Nairobi
  1. Kibera
  2. Mathare Valley
  3. Dandora
  4. Kawangware
  5. Korogocho
  6. Mukuru kwa Njenga
  7. Bondeni
  8. Corner Mbaya
  9. Ghetto
  10. Gitathuru
  11. Grogon Huruma
  12. Kahonoki
  13. Kambi Moto
  14. Kosovo
  15. Kwa Kariuki
  16. Madoya
  17. Mahira
  18. Mlango Kubwa
  19. Mabatini
  20. Redeemed
Haya ma slum yote yamezunguka kamji kadogo left and right na bado kuna fala anajinasibu kuiponda Dar eti imezungukwa na mashamba.
 
Haya ma slum yote yamezunguka kamji kadogo left and right na bado kuna fala anajinasibu kuiponda Dar eti imezungukwa na mashamba.
Ndio maana mie nikamsisitiza kheri vikindu ina mashamba ila kuna nyumba nzuri ,usafiri uhakika,huduma za kijamii nzuri na vyakula vya uhakika.
Ila ukitizama wao hayo maisha SIJAWAHI YAKUTA POPOTE HAPA TANZANIA SIO TU DAR.
Hiyo kiwalani yenyewe tatizo ni madampo tu ila hakuna nyumba za bati chakavu kama hizo.
Hata Tandale na Buguruni shida ni mfumo wa maji taka tu ila nyumba za tofali japo za zamani.
 
Capitalist anaekufa kwa njaa
Capitalist anae ongoza kwa slum Dunian
Haya masenge ni empty talks tu, ukitoa nairobi hakuna mji wowote wanaoweza kujivunia, kenya haina uwezo wa kushindana na Tanzania kivyovyote vile, tuko more urbanized than them, tuna most modern infrastructures than any country in East, west and central of Africa.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-14-46-31-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-31-14-46-31-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    34.5 KB · Views: 16
Wao wamezoea nairopori inabebwa na county zingine sisi huku kila mkoa unajitegemea
Hapa tunazungumzia dar city vs nairobi city hakuna kuruka ruka nje ya mada tulia kwenye mada tupige kwenye mshono 🤣🤣

Dar city 1500km sq

Nairobi city 696 km sq ndani yake kuna 120km sq nairobi national park ndani yake kuna over 200km sq misitu ya wakubwa
Chukua hesabu ndogo tu utagundua kwann nakwambia 👇👇👇

Kutoka CBD kwenda westland ni 3km
Kutoka CBD kwenda upperhill ni 3km
Kutoka CBD kwend kibera ni 5km

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-14-54-05-89_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-31-14-54-05-89_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    71.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom