kindly share us the video pliz...we know you guysKama Shenzhen mwanangu ❤️❤️😘😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 2889821
kindly share us the video pliz...we know you guysKama Shenzhen mwanangu ❤️❤️😘😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
View attachment 2889821
Punguza ushamba kijana, inaitwa variety. Tukona both Closed and Open MRI machines in Kenya.Halafu mbona zenu za kishamba sana??
Embu tizama tunazotumia sisi.
Hizo nne zilinunuliwa kwaajili ya kuongezwa MOI.
Hata medical facilities zenu za ushago doh!
Khaaa!Wewe ndio ulianza kulinganisha Kiambu Level 5 na hospitali ya wilaya. Sasa nikikupiga na facts unaanza kulia. 😂 😂
Ndhani unatumia free internet hapo Uhuru Park. 🤣 🤣 🤣Weka link zinafanya kazi we mzee.
View attachment 2889824
Umeshindwa kuonyesha, wacha nikusaidie.
Kijiji cha Kibaha 35km from Dar is a slum 👇 👇 😂 😂 😂 Dar imezungukwa na vijiji.
View: https://www.youtube.com/watch?v=NdsOiQmfH_I
Asante mkuu, laptop yangu haiwezi fungua unsecured links.Serikali yenu imejaa madwanzi, hawawezi lipia https. 😂 😂 😂 😂 Sasa nionyeshe MRI iko wapi hapo? naona CT Scan tu.Ndhani unatumia free internet hapo Uhuru Park. 🤣 🤣 🤣
View attachment 2889825
Hii Screenshot imenitafkarisha sana na nimetambua wewe ni mtu wa namna gani 🤣🤣🤣Weka link zinafanya kazi we mzee.
View attachment 2889824
Laptop yako aina gani hiyo mzee. Laptop inahusianaje na browser?Asante mkuu, laptop yangu haiwezi fungua unsecured links. Sasa nionyeshe MRI iko wapi hapo? naona CT Scan tu.
Kama unatumia antivirus ya maana, utaelewa haiwezi kubali ufungue unsecure links.Laptop yako aina gani hiyo mzee. Laptop inahusianaje na browser?
Unajua SSL maana yake?
hehe...kuomba picha za town zimezingira dar village imefanya watanganyika kupasuka mkun**u na kuvuja kibera alamy stock photos.Vyuma vimekaza.......lakini tunangojea hizo towns hatuna haraka...waweke videos ndio tuone vizuri live
Khaaa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiambu ni county brotheee Kibaha ni wilaya.
Pia MRI zenu mbona za zamani?
hiyo ndio Thika yao bro...hehehe.Afadhali hata Mombasa kuna Mtwapa
Nimekuuliza maswali matatuKama unatumia antivirus ya maana, utaelewa haiwezi kubali ufungue unsecure links.
kumbuka Mloganzila pia ni mkoa wa Pwani!Weka link zinafanya kazi we mzee.
View attachment 2889824
Hebu anza kwanza kwa kutupatia Turkana hospital. Tuanze kuptia kila County na sisi tutapitia kila mkoa.View attachment 2889830
Ukipata hospitali mbili za serikali in Pwani region ambzao zina MRI nitafunga hii account. 😂😂😂
Kama unatumia antivirus ya maana, utaelewa haiwezi kubali ufungue unsecure links.
Maswali zako za kipuzi. Yani hata screenshot yako imeandikwa website is not secured na bado unabishana. Soma hapo hapo juu nime underline uwache upumbavu.Nimekuuliza maswali matatu
1. Unatumia Laptop gani?
2. Laptop inahusianaje na Browser?
3. Unajua SSL?
Jibu maswali yangu kwanza Mzee au wewe hujui hata network technology (TCP and UDP)?