Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Ati Kiambu, Kenya nzima haina bus stand level kama hiyo! Ndo maana Teargass kakimbia!Sawa sie tuna mashamba ya mihogo.
Ila Dah!!
Hii ndio kituo cha mabasi cha Kiambu????!!!!!!!
Embu tizama picha ya pili kituo cha mabasi cha KIBAHA unachosema kuna mashamba ya mihogo.