Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You can’t import, as if you are talking to some guys wasioijua Kunya , the poor roads of Nairobi are full of Jalopies 15-25+ years old .
In Kunya Hata sasa watu wana clear proboxes na Vitz za mwaka 2003 halafu unaongea nini hapa , I have been to nairobi countless times , barabara zenu mbovu are full of Jalopies.
The only country in Sub-Sahara Africa to brag of atleast not importing old vehicles in South Africa pekee , and only because they manufacture and assemble most of car brands within RSA. . Nyie ni mafukara you can’t afford recent vehicles.
a typical car jam in nairobi is full of Jalopies halafu mtu anasema they don’t import old cars

View attachment 2888015View attachment 2888016View attachment 2888017
Hawa mbuzi kama hujawahi kufika Kenya unaweza kufikiri nchi yao ni kama Switzerland. Kumbe ushuzi mtupu.
 
Issue ya miaka 3 iliyopita,in short tshesekedi na wananchi wote wa congo awawataki na hakuna any masalia ya kijeshi chenu kule congo,eastern congo kuna monusco ambao hawa awahusiki na vita na kuna majeshi ya SADC haya ndio yanawapelekea moto m23,hamna kijeshi cha kenya in congo
Halafu MONUSCO kuna majeshi ya Tanzania. Wanawafundisha kiswahili kupila pilau.
Vikosi vinaitwa. TANZBATT.
Kwa sasa ipo TANZBATT 10. Unaweza kucheki kwenye Channel ya UN Swahili utaona mission zote kuanzia 1 mpaka 10.
 
Kimara na Kibaha zote ni vijiji, Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba ya mihogo. 😂😂😂
Wewe utakana hadi mama yako. 😂 😂 😂 👇👇 1

View attachment 2889070

View attachment 2889071
😂😂😂 DAR sio mji wenye support na vi county vingine mzee Kibaha ni district in Pwani region na hapo kuna town poa tu.. make google your friend
 
Halafu MONUSCO kuna majeshi ya Tanzania. Wanawafundisha kiswahili kupila pilau.
Vikosi vinaitwa. TANZBATT.
Kwa sasa ipo TANZBATT 10. Unaweza kucheki kwenye Channel ya UN Swahili utaona mission zote kuanzia 1 mpaka 10.
Monusco ni jeshi la TZ,india,bangladesh,brazil n.k ambao ni peacekeeping only,awapigani labda labda inapobidi
 
Halafu MONUSCO kuna majeshi ya Tanzania. Wanawafundisha kiswahili kupila pilau.
Vikosi vinaitwa. TANZBATT.
Kwa sasa ipo TANZBATT 10. Unaweza kucheki kwenye Channel ya UN Swahili utaona mission zote kuanzia 1 mpaka 10.
Then hadi sasa tuna vikosi 3 ndani ya congo,kuna UN yenyewe,UN peace keeper(monusco) na SADC,ukisikia askari wa TZ waliopo congo basi wapo wa operation tofauti tofauti
 
45 KM from Nairobi CBD

View: https://www.youtube.com/watch?v=T_1-upGTCLI

20KM from Dar is a slum CBD, mashamba za mihogo na vijiji. 👇 👇 👇 😂 😂 😂

View: https://www.youtube.com/watch?v=zovV5e95ln4

Unajipa matumaini au sio 🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2024-01-30-22-17-52.png
 
😂😂😂 DAR sio mji wenye support na vi county vingine mzee Kibaha ni district in Pwani region na hapo kuna town poa tu.. make google your friend
Thanks for confirming that Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba ya mihogo. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom