Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 What is the size of kibera?

  1. Kibera
  2. Mathare Valley
  3. Dandora
  4. Kawangware
  5. Korogocho
  6. Mukuru kwa Njenga
  7. Bondeni
  8. Corner Mbaya
  9. Ghetto
  10. Gitathuru
  11. Grogon Huruma
  12. Kahonoki
  13. Kambi Moto
  14. Kosovo
  15. Kwa Kariuki
  16. Madoya
  17. Mahira
  18. Mlango Kubwa
  19. Mabatini
  20. Redeemed
Hapo bado hujaweka Babandogo, Makuru kayaba, park lands, Sego, Kangemi in short kenya ni slums na slums ni Kenya.
 
thanks for reposting kibera for the 10000th time...does that change that tz is a poor third world country
1706692853562.png

Kunduzero first world country
 
Ukipata hii machine ya MRI hospitali ya wilaya ya Kibaha nitag nitafunga account. 👇 👇 👇

Image



View: https://x.com/GDSDelivery/status/1154696869655830528?s=20

Serikali ya Mama yako imenunua 4 pekee. 👇👇😂😂😂😂


Image

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizo 4 ni za nyongeza kijana.
Kipindi cha Magufuli zilinunuliwa zaidi ya hizo.
Halafu Kibaha ni hospitali ya wilaya kama unataka nkupambanishe na ya mkoa wa Pwani sema.
Na KIBAHA WANATUMIA HOSPITALI YA MLOGANZILA (MUHIMBILI NDOGO) KAMA SEHEM YA REFFERAL ILIOKO KIBAMBA.
NGOJA NKULETEE PICHA.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-15-22-28-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-31-15-22-28-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    43.3 KB · Views: 13
Mzee huoni kuwa inaongelewa Budget ya 2022/2023? Mbona unachanganyikiwa sana dogo. Title inajieleza halafu unalazimisha mambo 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Halafu MRI zao zenyewe za kishamba sio sophisticated aisee.
Umeona MRI zetu kitu cha Tesla??
Na usikute kwa ile MRI wamenunua kwa bajeti mara kumi ya yetu akat yetu ndio most sophisticated.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizo 4 ni za nyongeza kijana.
Kipindi cha Magufuli zilinunuliwa zaidi ya hizo.
Halafu Kibaha ni hospitali ya wilaya kama unataka nkupambanishe na ya mkoa wa Pwani sema.
Na KIBAHA WANATUMIA HOSPITALI YA MLOGANZILA (MUHIMBILI NDOGO) KAMA SEHEM YA REFFERAL ILIOKO KIBAMBA.
NGOJA NKULETEE PICHA.
Wewe ndio ulianza kulinganisha Kiambu Level 5 na hospitali ya wilaya. Sasa nikikupiga na facts unaanza kulia. 😂 😂
 
Maisha yangu yote nimezunguka pembe karibuni zote Tanzania sijai ona mazingira mabovu kupitiliza kama haya.
Hapa mzee ukijisahau si tetinus ya wazi kabisa!?
Pa1 na life gumu lote hilo kunyan bado wana nguvu kabisa ya kujiona wapo kwenye 1st world country,na wasi wasi sana na elimu wanayopewa hawa maku,unaanzaje kujitapa na slums hizo!!
 
Back
Top Bottom