Mbona mie sijaona mashamba pale??Hata Thika haiko Nairobi. Hii Dar is a slum yenu imezungukwa na vijiji tu.
Nimeona makazi tu ya kawaida.
Pia ushidhani maghorofa ndio utajiri kijana.
Watu wa hayo maeneo wanakula mpaka milo 7 kwa siku usafiri rahisi pia biashara nyingi hawalali njaa kama nyie huko.