Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesema less than 30km from Dar is a slum CBD. Huelewi kingereza au tukusadie dictionary.
Tunaongelea kuhusu dar, Ila kama unataka huko pembeni ya miji basi ngoja niwaombe wanangu. OYA WENETU HEBU PIGENI HII UMBWA NA MCHI WA KISAMVU KWA KICHWA, Venus star Kule Kwenye sources zako fukuafukua bas afu uje uniulie huyu
 
Umekosa Apartments 🤣 🤣 🤣 🤣 Dar = Nairobi + Mombasa + Murang'a + Kajiado + Kiambu + Nakuru

We fala nini? Kitengela ikona apartments mingi sana. Show me urban centers 30km from CBD wacha kelele mingi.
Serviced 3 Bed Apartment at Kitengela-Namanga Highway for KSh 4,500,000 |  BuyRentKenya

apartment for sale in Kitengela
 
Kingereza ndio huelewi🤣🤣🤣🤣.

Amesema "from Dar CBD". That phrase haisemi ati hapo ni Dar.

Watanzania wote ni kondoo lakini wewe Yako imepita mipaka😂😂
Kilicho fanya aweke hiyo post ya X ni nini?
 
Tunaongelea kuhusu dar, Ila kama unataka huko pembeni ya miji basi ngoja niwaombe wanangu. OYA WENETU HEBU PIGENI HII UMBWA NA MCHI WA KISAMVU KWA KICHWA, Venus star Kule Kwenye sources zako fukuafukua bas afu uje uniulie huyu
Pia we umekosa video ya any urban center 30 km from dar is a slum cbd. 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom