Filaria
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 768
- 2,119
Sijui kama alikuelewa hapa..Hapa tunazungumzia dar city vs nairobi city hakuna kuruka ruka nje ya mada tulia kwenye mada tupige kwenye mshono 🤣🤣
Dar city 1500km sq
Nairobi city 696 km sq ndani yake kuna 120km sq nairobi national park ndani yake kuna over 200km sq misitu ya wakubwa
Chukua hesabu ndogo tu utagundua kwann nakwambia 👇👇👇
Kutoka CBD kwenda westland ni 3km
Kutoka CBD kwenda upperhill ni 3km
Kutoka CBD kwend kibera ni 5km
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣�
Yan hyo kamasi town ni kama ilipo wilaya ya ubungo tu hpo.