Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What else do you want…You are like a Trump supporter… no amount of evidence will satisfy you… I can bring a photo of a KDF soldier reading today’s paper outside of Goma and you probably call it fake …. So suit yourself son.. maybe waulize your TPDF ambao wamefka DRC… they will tell you if KDF is still there..
What's wrong with being a Trump supporter?
 
45 KM from Nairobi CBD


View: https://www.youtube.com/watch?v=T_1-upGTCLI

20KM from Dar is a slum CBD, mashamba za mihogo na vijiji. 👇 👇 👇 😂 😂 😂


View: https://www.youtube.com/watch?v=zovV5e95ln4

Kuna faraja zingine bhana 😂😂😂 Kwahyo Kibaha ni 20 km From Dar CBD. Anyways hiyo barabara ina urefu wa 19 km na jina lake ni kimara-kibaha high way, yaani inatoka kimara straight to Kibaha.. haya google the distance From posta to kimara mwisho then jumlishia na hizo 19 km za hiyo barabara. 😂😂😂
 
Kuna faraja zingine bhana 😂😂😂 Kwahyo Kibaha ni 20 km From Dar CBD. Anyways hiyo barabara ina urefu wa 19 km na jina lake ni kimara-kibaha high way, yaani inatoka kimara straight to Kibaha.. haya google the distance From posta to kimara mwisho then jumlishia na hizo 19 km za hiyo barabara. 😂😂😂
Kimara na Kibaha zote ni vijiji, Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba ya mihogo. 😂😂😂
Wewe utakana hadi mama yako. 😂 😂 😂 👇👇 1

Screenshot 2024-01-30 213930.jpg


Screenshot 2024-01-30 214030.jpg
 

Khaaa mbu hata Kenya wapo.
Kwetu malaria ni ugonjwa mwepesi sana,badala ya kuhangaikia hili pambaneni dawa za saratani na TB zisiwakatikie mkaja kutuomba.
Vyura pia jambo la kawaida sana mvua zikinyeesha.
 
Kimara na Kibaha zote ni vijiji, Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba ya mihogo. 😂😂😂
Wewe utakana hadi mama yako. 😂 😂 😂 👇👇 1

View attachment 2889070

View attachment 2889071
Kibaha Mkoa wa Pwani kijana sio Dar.
Ila kibaha kuna maisha mazuri na mepesi 5000 Tsh inakushibisha kwa mlo kamili kwa siku hapo kibaha pia hakuna nyumba za mabati.
 
Issue ya miaka 3 iliyopita,in short tshesekedi na wananchi wote wa congo awawataki na hakuna any masalia ya kijeshi chenu kule congo,eastern congo kuna monusco ambao hawa awahusiki na vita na kuna majeshi ya SADC haya ndio yanawapelekea moto m23,hamna kijeshi cha kenya in congo
Monusco nao wamepewa muda waondoke na washaanza kufungasha kuondoka.
Litabaki jeshi la SADC tu.
 
View attachment 2889013View attachment 2889014
I want you to notice the camo of the the KDF soldiers leaving DRC and contrast it with this camo… KDF guys wearing this camo are staying back… part of the security pact … their mission is classified… and I won’t reveal it to you…🤣.. these are recent photos inside DRC… btw.. the green guys with gumboots are DRC soldiers not Kenyan
KDF walishaambiwa waondoke kijana.
Hizo picha hazithibitishi kama mpo DRC.
Felix alitamka wazi anawapa miezi kadhaa ya jeshi la EAC na MONUSCO waondoke maana SADC washaombwa msaada.
Acha ubishi we kijana.
 
Back
Top Bottom