Katika maisha three needs are basically.Wabongo mnakuwa wajinga sana. Ule milo Kumi ndio nini? Yani hapo mnafikiria Kula tu and only affordability stops you from eating? It's unhealthy to overeat. 3 meals are more than enough and occassionally you have to do two.
Food ,shelter and clothes.
Na hivyo ni rahisi sana kufanya katika hayo maeneo mnayodai kuna mashamba ya mihogo.
Makazi nafuu,chakula nafuu hata mavazi nafuu na huduma zingine za kijamii kama hospitali ,usafiri na shule zimeunganishwa kwa wingi.