Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe urban center kama hii, 30km from Dar is a slum CBD. Ukipata nafunga account. 😂 😂 😂


View: https://www.youtube.com/watch?v=q_EDeHQh6JU

1706445564031.png


Unazingua sana kama umeshindwa sema tu 🤣 🤣 🤣
 
Hizi ndio footages za Bukoba outskirts na bado zinaweza kupambana na Nairobi outskirts na zikazipiga vibaya mno, kwanza mazingira na usafi hata Nairobi CBD haipo clean hivi, hakuna outskirt streets za Nairobi zilizokua marked na zenye hizi street lights


View: https://youtu.be/53sdCFpSsJQ?si=DirqMQ7r4A3yn6aO

Sasa unaonyesha mji, hivi unadhani Kenya hakuna miji au vipi? Mji wenyewe wa kawaida sana.
 
Hizi unaiita rough bungalows typical Tanzanias homes

View attachment 2885891View attachment 2885894

Wakati typical Kenyan city dweller anaishi mazingira kama haya, hivi ni sababu hizi ni ghorofa au comfortability mnayopata kuishi mazingira kama haya ni ipi? Huyu mtu anaishi hapa bedsitter ni masikini mara elfu 1 kuliko anaishi kwenye hiyo rough bungalows unazosema

View attachment 2885906View attachment 2885907
Unafananisha bungalow za kwenu na makaazi ya mtu wa Chini Nairobi, hivi nikikupoostia nyumba za kwetu ushago utasemaje? 🤣 🤣
Mfano hii

250b79cd83d6d2d9.jpg
 
Back
Top Bottom