Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbweni, Dar es Salaam, Tanzania Houses​

1706446889264.png

 
Haya majengo yatakuwa na fungus sana si Kwa ushamba huo WA kuanika Nguo hvo, naumia Sana nkionaga Watu wenye ustaarabu mbovu kama huu
Hizi unaiita rough bungalows typical Tanzanias homes

View attachment 2885891View attachment 2885894

Wakati typical Kenyan city dweller anaishi mazingira kama haya, hivi ni sababu hizi ni ghorofa au comfortability mnayopata kuishi mazingira kama haya ni ipi? Huyu mtu anaishi hapa bedsitter ni masikini mara elfu 1 kuliko anaishi kwenye hiyo rough bungalows unazosema

View attachment 2885906View attachment 2885907
 
Westlands is on steroids. This tower will get completed before Mzizima Tower that started in 2013😂.

With completion of this twin tower, Westlands will now have 8 buildings of 30 floors above. That will be more than total number of buildings with 30 floors in Tanzania as a whole.

1706448510558.png

1706448594332.png

1706448651759.png

1706448741777.png
 
Back
Top Bottom