Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hela ya kula ni shida ndio itakuwa project ya 16bn dollars? Pia kwenye kila shilling 10 inayopatikana shilling 7 zinaenda kulipa madeni na room ya kukopa hamna tena maana shilling 3 zinazobaki ndio zitumike kwa recurrent expenditure, huduma za jamii kama elimu, afya, maji, umeme etc na pia hapohapo itoke hela ya development projects.
The country has really gone to the docks.
 
Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Hivi wa kwa
Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Hivi Zambia unawachukuliaje?
Ina wachezaji wengi wanaocheza ligi kubwa kuliko hata hiyo Kenya.
Ki rank Zambia ya 86 kwa viwango vya Fifa.
Nadhani unaelewa tulikua tunacheza na nani.
 
Ruaka, kiambu county
1706004699449.jpg
 
Hivi wa kwa

Hivi Zambia unawachukuliaje?
Ina wachezaji wengi wanaocheza ligi kubwa kuliko hata hiyo Kenya.
Ki rank Zambia ya 86 kwa viwango vya Fifa.
Nadhani unaelewa tulikua tunacheza na nani.
FIFA rank ni muhimu tu upande wa Zambia but when we mention the same about Kenya ranking higher than Tanzania that's where you draw the line

What a bunch of blind patriots!!
 
Back
Top Bottom