Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I have answered this question a million times. For the last time, our teams don't participate because of the FIFA ban. Umesikia bongolala?

About Olympics, Kenya is the most decorated country in Africa if you know what that means

Hata Kwa sasa, our women's volleyball team (Malkia Strikers) and the men's rugby 7s team (Shujaa) have already qualified for the Olympics and will represent Africa (you bongolalas included) at the global event in Paris this year

Hebu nieleze timu gani yenu ya taifa ishafuzu kwenye hayo mashindano ama kazi ni kupiga tu kelele hapa JF as usual?
Stupid response.
Yaani naongelea mpira wewe unaniandikia upumbav gani hapa.
Ninyi ni Non football country ndio maana unashindwa kujibu ninacho kuuliza.
Ndio maana Botswana waliwafunza adabu.
Hamna timu AFCON
Hamna timu WAFCON
Hamna timu CAFCL
Hamna timu CAFCC
Hamna timu inayoshiriki kufuzu Olympics.
Hamna timu iliyo wahi kucheza FIFA World cup.
Nchi yenye watu Karibu milioni 50 haishiriki mashindano yoyote ya mpira, aibu! 😂😂😂
 
A non-football country ambayo inawachapa kila siku!

A non-football country ambayo rankings zake FIFA iko juu kuliko yenu

A non-football country ambayo ndio nchi ya pekee yenye klabu ukanda huu iliyowahishinda kombe la bara ( a continental trophy)

A non-football country ambayo ndio ya pekee ukanda huu kupeleka wachezaji ulaya hadi wakabeba Eufa Champions League.

Najua unaumia sana ila pole dogo
 
Did they say that kwenye hiyo link au unatoa kichwani mwako tuu?
What did they say it is?

Everytime Kenya power interrupts power, inatoa taarifa kwenye vyombo vya habari, haswa magazeti na sababu kuu huwa ni systems maintenance
 
A non-football country ambayo inawachapa kila siku!

A non-football country ambayo rankings zake FIFA iko juu kuliko yenu

A non-football country ambayo ndio nchi ya pekee yenye klabu ukanda huu iliyowahishinda kombe la bara ( a continental trophy)

A non-football country ambayo ndio ya pekee ukanda huu kupeleka wachezaji ulaya hadi wakabeba Eufa Champions League.

Najua unaumia sana ila pole dogo
Tuli..., tuliwa... tuliwahi...
Na hizo rank za FIFA mko wapi sasa hivi?
Eufa ndo nini?
Halafu hiyo "Eufa" ina mahusiano gani na kunyaland?
You know nothing about football bora utulie tu kuliko kuendelea kujiaibisha.
 
Wewe unajua football mbona mlishindwa kuwafunga wazambia kumi uwanjani
 
Back
Top Bottom